mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Masahihisho kidogo. Hakuna probox successed. Kuna toyota Probox na Toyota succeed.Tafuta pro box successed itakufaa zaidi
Ushauri wangu. TOYOTA SUCCEED ndio nzuri saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masahihisho kidogo. Hakuna probox successed. Kuna toyota Probox na Toyota succeed.Tafuta pro box successed itakufaa zaidi
Ila huwa zinawahi kuchoka mapema unaweza kukuta namba D haitamaniki
Siyo IST tu bali pia Yaris/Echo, Toyota Porte, na baadhi ya VitzMkuu inamaana engine iliyowekwa kwenye probox ni sawa na iliyopo kwenye IST??
Nasikia utunzaji ukiwa wa hovyo..tatizo huanzia hapo.Ila huwa zinawahi kuchoka mapema unaweza kukuta namba D haitamaniki
Vipi Mkuu,zina mfanano?Masahihisho kidogo. Hakuna probox successed. Kuna toyota Probox na Toyota succeed.
Ushauri wangu. TOYOTA SUCCEED ndio nzuri saaana
[emoji3]..msanii yule achana naye!@Kidukulilo akiiona hii discussion ataumia sana.
AhsanteHii ni gari ya kazi kama unavyonunua trekta kwa ajili ya kulimia na sio ya kuvimbia mjini..........
Sio Mkurya Mkuu.kazi NA sala
Wewe ni mkurya? Maana hizo gari na wakurya. Ni sawa na mchagga na pesa.
Huna haja ya kuuliza mara mbili kuhusiana na hilo gari.
Kwa kifupi, Probox ni Peugeot 504 of our time.
Hiyo utatumia hadi uiache, ukishindwa hiyo basi jua hakuna gari utaweza kuimudu tena.
[emoji23][emoji23]Mbele abiria 2
Kati abiria 4 hadi 5
Nyuma abiria 6
[emoji23][emoji23]Mkuu hapo kwa kigoma hapo mbele wanakaa abiria 3 na dereva jumla wanne
Toyota Probox na Toyota succeed kimuonekana zinafanana kila kitu.Vipi Mkuu,zina mfanano?
Shukran boss kwa maelezo mazuri sana.Toyota Probox na Toyota succeed kimuonekana zinafanana kila kitu.
Ni few technical specification (mambo ya kiufundi) ndio zinatofautiano.
Zote ni gari nzuri kwa misoto ya mjini na rough road, japokuwa Toyota succeed inaonekana ni vumilivu zaidi kwa mishe mishe za rough road.
All in all, bei zake ni sawa (milioni 12-14 inaagiza toka Japan), japokuwa Toyota succeed inaweza kuwa adimu kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa nimeamini[emoji119]..naona juu mtu 2,sitaki kujua hali ya huko ndani ipoje.HerushingoView attachment 1704308
Possibility kuna watu zaidi ya 20 humo ndani.HerushingoView attachment 1704308
Duuh zaidi ya noah, siti huko nyuma zinaongezwa au watu wanakaajeMbele abiria 2
Kati abiria 4 hadi 5
Nyuma abiria 6
Siti haziongezwe mkuu, ni kupakatana + kupangana ili mtu afike aendapo cz maeneo mengi usafiri ni mchache so inabidi wajibaneDuuh zaidi ya noah, siti huko nyuma zinaongezwa au watu wanakaaje
Ahsante
Ndio naipenda hiyo boss..ukivimbia na Probox mjini utaumbuka.