Kwenu wataalamu

Kwenu wataalamu

The MoNA

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
4,168
Reaction score
10,184
Wasalamu waTz.

Ulimwengu wa Compact Disk al maarufu CD ni kama umepitwa na wakati kutokana na ukuaji wa teknolojia.

Kwa sasa kuna namna mbali mbali ambazo ni rahisi na salama ya kuhifadhi mafile mbali mbali kama ilivyo kwenye CD.

Kuna kazi (album) ya kwaya ya RC itafanyika hivyo twataka kuziweka kwe flash na kuziuza kwa kutumia flash badala ya CD. Navyojua flash ya GB 4 inatosha kabisa kuhifadhi album nzima.

Kwenu wataalamu wapi naweza kupata flash imara (original) za 4 GB na kwa bei nafuu ambazo zitatuondolea malalamiko ya ufake kwa wateja?

Mchango wako muhimu
Ahsante
 
SanDisk hutajutia, na vile ziko copy-cat, unatumia sanDisk tool HII , kama ni OG, hiyo tool ita detect
Shukrani mkuu. Hii tool na install kwenye computer kisha yenyewe kuhakiki eh?
Vipi bei yake kwa hiyo 4 GB?
 
Ukishaweka kwny flash na mm ntanunua nisikilize hyo kwaya.
 
Back
Top Bottom