Kwenu watetezi wa ndoa

Kwenu watetezi wa ndoa

Hivi hii topic haiwachoshi jamani. Kila mtu afanye lake..kama unaoa oa, kama unaolewa olewa. Kama unaacha acha. Kama unabak single baki...mambo ni mengi wazee...

izo ni indicator za kutokujiamini wew kama umeau kutoa oa kaa kimya shida watu wanatafta attention zisizo na Msingi kina John cena wameau kuto oa kabisa na hawipi pigi kelele
Basi hata mada nyengine zisiletwe.
Hivi JF kuna mada mpya?

#YNWA
 
Mimi nimeoa ila ikifika hatua ndoa imekuwa mzigo kwangu naitua tunagawana then inafika hatua unamuachia mwanamke apambane mwenyewe aone kama hizo sheria zitamuokoa kwenye u single mother
 
Back
Top Bottom