Ungekua na uwezo mzuri wa kuandikia mirad ningekuona inbox..nina shida na mtu wa aina yako ila kina vigezo kidoogoMimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine...
Kiuhalisia inaumiza sana mkuu kwa sisi tusio na 'connection', anyways kila mja na fungu lake nina imani ipo siku nitapata nafasi pia japo siku zinayoyoma umri unasogea mwaka wa pili sasa mtaani bila ajira. Kama una connection mkuu naomba unisaidie.Najarubu kuuvaa uhusika, naona machungu!
Watu wanaripoti kazini wenye wajomba zao vigogo.
Wenzako wako kitaa tangu 2015 mpk leo bado ni bila bila we miwili tu unapaniki?Kiuhalisia inaumiza sana mkuu kwa sisi tusio na 'connection', anyways kila mja na fungu lake nina imani ipo siku nitapata nafasi pia japo siku zinayoyoma umri unasogea mwaka wa pili sasa mtaani bila ajira. Kama una connection mkuu naomba unisaidie.
All best boss.Kila mtu na anavyolichukulia suala lake mkuu pia sijapaniki mkuu, natafuta nafasi.
keep hope kaka maisha ni mapambano na ukiumbwa mwanaume sio kusimamisha tu hapana maan hata mbuzi dume anasimamisha umefanya uamuzi mgumu sana ambao wengne akina sie hatuna uwezo huo..big up mkuuKiuhalisia inaumiza sana mkuu kwa sisi tusio na 'connection', anyways kila mja na fungu lake nina imani ipo siku nitapata nafasi pia japo siku zinayoyoma umri unasogea mwaka wa pili sasa mtaani bila ajira. Kama una connection mkuu naomba unisaidie.
anachosema ni yyte yule mwenye kazi sehemu husika huko sasa ukisema kaombe sua ameshayaona hayo na kuna uwezekano amejaribu lakini ameshindwaKaombe ku volunteer SUA
Ahsante sana mkuu kwa kunifariji nina imani siku ipo yaja,bado naendelea kutafuta.keep hope kaka maisha ni mapambano na ukiumbwa mwanaume sio kusimamisha tu hapana maan hata mbuzi dume anasimamisha umefanya uamuzi mgumu sana ambao wengne akina sie hatuna uwezo huo..big up mkuu
🙏anachosema ni yyte yule mwenye kazi sehemu husika huko sasa ukisema kaombe sua ameshayaona hayo na kuna uwezekano amejaribu lakini ameshindwa
tafakari kwanza kaka tusijibu tu ilimradi kufurahisha genge..tupende kuwa na genge la wasomi sio kujifurahisha tu
Sasa mkuu utajifunza vipi kama unapewa kazi unasema bado najifunza? Unekua serious ungechukua kazi, piga kazi ukikwama unaomba ushauri kwa wenzako... ukikwama una google, ukikwama unaingia youtube..Ahsante mkuu, sijawa expert wa uandishi wa miradi bado najifunza.
Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha, nachukua huu ushauri na ninakuahidi kuufanyia kazi.Sasa mkuu utajifunza vipi kama unapewa kazi unasema bado najifunza? Unekua serious ungechukua kazi, piga kazi ukikwama unaomba ushauri kwa wenzako... ukikwama una google, ukikwama unaingia youtube..
Sasa wewe umeishia kusema bado najifunza.. sijui utajifunza mpaka lini!
Ukiweza nenda Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Kasulu huwa kuna Mashirika mengi sana huwa wanasaidiana na Volunteers,Ukiweza unaweza kwenda Idara ya Kilimo hapo Kasulu kaulizie wanaweza kukuconnect na Wadau wa Maendeleo ukawa unapiga part time ukijenga uzoefu.Utakutana na WASUASO pale watakupa connection tu,you will thank me later.Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi au Internship serikalini au kwenye mashirika binafsi, uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo:-
- Ufuatiliaji na utathmini wa miradi.
- Kutoa elimu mbalimbali kama vile elimu ya afya ya uzazi.
- Udodosaji na ukusanyaji wa taarifa hasa mijadala ya makundi (Focus Group Discussion).
- Utatuzi wa migogoro.
- Kazi za field hasa maeneo ya vijijini, hapa nina uzoefu na uwezo mzuri wa kusafiri umbali mrefu pamoja na kukabiliana na changamoto zote za vijijini na kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi mkubwa.
- Kuandika ripoti vizuri pamoja na kuiwasilisha.
- Matumizi ya computer pamoja na packages zake kama vile Ms word, Excell, SPSS, internet etc.
Hizo ni baadhi ya kazi ninazo weza kuzifanya lakini pia ninaweza kufanya kazi nyingine nitakazopewa, kwa sasa napatikana wilaya ya Kasulu-Makere Ila nipo tayari kusafiri mkoa wowote ndani ya Tanzania.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
Ndolezi.
Dogo acha Ujinga wewe, unataka kazi na unakataa kazi? Wewe ni Graduate kweli?Ahsante mkuu, sijawa expert wa uandishi wa miradi bado najifunza.