Dogo acha Ujinga wewe, unataka kazi na unakataa kazi? Wewe ni Graduate kweli?
Huwezi kuandika mradi kivipi? Huwezi hata kutafuta format mitandaoni, huwezi husisha mzoefu akakuandikia wewe ukawa kama Castodian?
Huhitaji uzoefu kufanya Jambo, Yaani unabadilikia humohumo kwenye Game kama Naco2Naco wanavyosema.
Lingine, Usione soo kujichanganya kitaa.. wakati unasubiri hiyo Ajira,
Kalime hata Mpunga, Muda unaenda mbio utajikuta unatoboa 30 hapo bado ramani hazisomeki,
Ukipata ajira ni heri usipopata pia uwe na plan B,
Being a Man means a lot of things, Pambana usikate tamaa. Anzisha hata biashara itakayokupa shilingi elfu 5 kwa Siku, hii itakupa relief ya Maisha.
All the best.
Sent using
Jamii Forums mobile app