Nimeuza sanaaa mitumba kaka na bado naendelea kuuza licha ya hivyo kwa kiasi nimefanya kazi ya bodaboda lakini niliachana nayo, bado naendelea na mawasiliano na member aliyenipa hiyo nafasi. Ahsante kwa ushauri.Dogo acha Ujinga wewe, unataka kazi na unakataa kazi? Wewe ni Graduate kweli?
Huwezi kuandika mradi kivipi? Huwezi hata kutafuta format mitandaoni, huwezi husisha mzoefu akakuandikia wewe ukawa kama Castodian?
Huhitaji uzoefu kufanya Jambo, Yaani unabadilikia humohumo kwenye Game kama Naco2Naco wanavyosema.
Lingine, Usione soo kujichanganya kitaa.. wakati unasubiri hiyo Ajira,
Kalime hata Mpunga, Muda unaenda mbio utajikuta unatoboa 30 hapo bado ramani hazisomeki,
Ukipata ajira ni heri usipopata pia uwe na plan B,
Being a Man means a lot of things, Pambana usikate tamaa. Anzisha hata biashara itakayokupa shilingi elfu 5 kwa Siku, hii itakupa relief ya Maisha.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu, nitaufanyia kazi ushauri wako.Ukiweza nenda Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Kasulu huwa kuna Mashirika mengi sana huwa wanasaidiana na Volunteers,Ukiweza unaweza kwenda Idara ya Kilimo hapo Kasulu kaulizie wanaweza kukuconnect na Wadau wa Maendeleo ukawa unapiga part time ukijenga uzoefu.Utakutana na WASUASO pale watakupa connection tu,you will thank me later.
Na mimi nilivyomwambia aende kuomba ku volunteer huwezi jua labda kuna kitu nimeona[emoji1745]anachosema ni yyte yule mwenye kazi sehemu husika huko sasa ukisema kaombe sua ameshayaona hayo na kuna uwezekano amejaribu lakini ameshindwa
tafakari kwanza kaka tusijibu tu ilimradi kufurahisha genge..tupende kuwa na genge la wasomi sio kujifurahisha tu
SUGECO au kitengo kipi mkuu?
Bachelor of rural development.
Kazi nyingi za field mkuu zikiwemo:-Apart from kuandika miradi kitu gani kingine unaweza kufanya?
jaribu kwenda ndugu umshike mkono mwajiriwa yyte hpo! maana sku hzi kutuma cv ni kumtovuga jicho kipofu..Kuna nafasi niliziona na nimekwisha apply mkuu
Acha kulia lia nenda Utumishi kazi zipo. Otherwise uwe kilazaKiuhalisia inaumiza sana mkuu kwa sisi tusio na 'connection', anyways kila mja na fungu lake nina imani ipo siku nitapata nafasi pia japo siku zinayoyoma umri unasogea mwaka wa pili sasa mtaani bila ajira. Kama una connection mkuu naomba unisaidie.
Sawa mkuu nitakwenda, ahsante kwa ushauri.Acha kulia lia nenda Utumishi kazi zipo. Otherwise uwe kilaza
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mungu akutangulie MkuuMimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi au Internship serikalini au kwenye mashirika binafsi, uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo:-
- Ufuatiliaji na utathmini wa miradi.
- Kutoa elimu mbalimbali kama vile elimu ya afya ya uzazi.
- Udodosaji na ukusanyaji wa taarifa hasa mijadala ya makundi (Focus Group Discussion).
- Utatuzi wa migogoro.
- Kazi za field hasa maeneo ya vijijini, hapa nina uzoefu na uwezo mzuri wa kusafiri umbali mrefu pamoja na kukabiliana na changamoto zote za vijijini na kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi mkubwa.
- Kuandika ripoti vizuri pamoja na kuiwasilisha.
- Matumizi ya computer pamoja na packages zake kama vile Ms word, Excell, SPSS, internet etc.
Hizo ni baadhi ya kazi ninazo weza kuzifanya lakini pia ninaweza kufanya kazi nyingine nitakazopewa, kwa sasa ninapatikana Morogoro mjini Ila nipo tayari kusafiri mkoa wowote ndani ya Tanzania.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
Ndolezi.
Umemaiza mwaka gAniMimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi au Internship serikalini au kwenye mashirika binafsi, uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo:-
- Ufuatiliaji na utathmini wa miradi.
- Kutoa elimu mbalimbali kama vile elimu ya afya ya uzazi.
- Udodosaji na ukusanyaji wa taarifa hasa mijadala ya makundi (Focus Group Discussion).
- Utatuzi wa migogoro.
- Kazi za field hasa maeneo ya vijijini, hapa nina uzoefu na uwezo mzuri wa kusafiri umbali mrefu pamoja na kukabiliana na changamoto zote za vijijini na kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi mkubwa.
- Kuandika ripoti vizuri pamoja na kuiwasilisha.
- Matumizi ya computer pamoja na packages zake kama vile Ms word, Excell, SPSS, internet etc.
Hizo ni baadhi ya kazi ninazo weza kuzifanya lakini pia ninaweza kufanya kazi nyingine nitakazopewa, kwa sasa ninapatikana Morogoro mjini Ila nipo tayari kusafiri mkoa wowote ndani ya Tanzania.
Wenu katika ujenzi wa taifa.
Ndolezi.
Kupitia ushauri wako umeniongezea thamani katika utafutaji wangu wa kazi na maisha ya kupambana mtaani nakushukuru sana sana kwa ushauri huu mkuu ubarikiwe sana ni maneno machache uliandika ila yenye thamani na uzito mkubwa sana.Dogo acha Ujinga wewe, unataka kazi na unakataa kazi? Wewe ni Graduate kweli?
Huwezi kuandika mradi kivipi? Huwezi hata kutafuta format mitandaoni, huwezi husisha mzoefu akakuandikia wewe ukawa kama Castodian?
Huhitaji uzoefu kufanya Jambo, Yaani unabadilikia humohumo kwenye Game kama Naco2Naco wanavyosema.
Lingine, Usione soo kujichanganya kitaa.. wakati unasubiri hiyo Ajira,
Kalime hata Mpunga, Muda unaenda mbio utajikuta unatoboa 30 hapo bado ramani hazisomeki,
Ukipata ajira ni heri usipopata pia uwe na plan B,
Being a Man means a lot of things, Pambana usikate tamaa. Anzisha hata biashara itakayokupa shilingi elfu 5 kwa Siku, hii itakupa relief ya Maisha.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha, nachukua huu ushauri na ninakuahidi kuufanyia kazi.