Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

We kweli nyegere
 
Sawa, Acha tu wa damage image, si ndo furaha yenu waki damage? Mbona unajaa upepo?
 
Picha ya hao wanne uloweka picha zao na kikundi Chao Cha Wachache ndio Hasa wanalitesa Taifa hili Hadi sasa.

Ninakushauri simama upande wa wananchi Si kundi dogo la Mafisadi.
Hiyo ni mada nyingine , uzi unahusu waliodukuliwa
 
Waendelee kudukuana tu.
 
Ninakuonya! Ulikotoka ni mbali sana, umekuwa mtu mhimu sana hapa kwa nyakati tofautofauti, kwa sasa hadhi yako inashuka sana

Umekuwa na nyuzi za kijinga mno, sielewi iwapo na wewe ulipigwa zile chanjo za Korona, walio wengi wameendelea kuchizika
Km alivyowahi kusema Gwajima kuwa tunalazimishwa kuchanjwa ili tuwe mazezeta,tuwe tunasaini mikataba kizezeta,leo nakubali mtizamo wake huu kwa sana tu.
 
Kwa sasa hawadukuliwi, jielekeze kwenye jumba la CDM linalonuka rushwa, dhuluma, fitina, chuki, kutekana na kuuwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…