Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

uongo na upotoshaji una haribu hadhi na kushusha heshima na utu wako 🐒

zaidi sana unaharibu image na status ya taasisi yako mbele za jamii, unaikosesha kuaminika 🐒

hata hivyo ni hii dalili bayana iliyokomaa tena iliyokomaa kabisaa, ya kukosa hoja, kukosa sera, Lakini na kupoteza uelekeo na dira kung'ag'ana na masuala ambayo hayana umuhimu wowote wala hayasaidi kukuongezea chochote 🐒

umaskini wa hoja, fikra na sera ni uraibu unaotia huruma sana mbele ya jamii 🐒
We kweli nyegere
 
inasaidia nini sasa,
kwamba the ruling party itapay attention kwenye upotoshaji huu ama ni katika kujipa matumaini na Faraja zisizo na faida yoyote ispokua kudemage image ya ya taasisi yenu kwamba mmeishiwa hoja na pumzi [emoji205]

mie namwaga madini nasepelea mbali ntababaika au kuhemka na uongo mie, we vepe [emoji1787]
Sawa, Acha tu wa damage image, si ndo furaha yenu waki damage? Mbona unajaa upepo?
 
Picha ya hao wanne uloweka picha zao na kikundi Chao Cha Wachache ndio Hasa wanalitesa Taifa hili Hadi sasa.

Ninakushauri simama upande wa wananchi Si kundi dogo la Mafisadi.
Hiyo ni mada nyingine , uzi unahusu waliodukuliwa
 
Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .

Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?

Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF

Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Waendelee kudukuana tu.
 
Ninakuonya! Ulikotoka ni mbali sana, umekuwa mtu mhimu sana hapa kwa nyakati tofautofauti, kwa sasa hadhi yako inashuka sana

Umekuwa na nyuzi za kijinga mno, sielewi iwapo na wewe ulipigwa zile chanjo za Korona, walio wengi wameendelea kuchizika
Km alivyowahi kusema Gwajima kuwa tunalazimishwa kuchanjwa ili tuwe mazezeta,tuwe tunasaini mikataba kizezeta,leo nakubali mtizamo wake huu kwa sana tu.
 
Screenshot_2024-04-03-14-12-08-1.png
 
Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .

Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?

Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF

Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Kwa sasa hawadukuliwi, jielekeze kwenye jumba la CDM linalonuka rushwa, dhuluma, fitina, chuki, kutekana na kuuwana!!
 
Back
Top Bottom