Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone uhalisia wa injili ya Ndugai .

2907911_14.jpg
 
Anazidi kujaladia Boko lake 😄😄😄

Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi; ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba. Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Lk 2:3‭-‬7 SUV
 
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone uhalisia wa injili ya Ndugai .

View attachment 1918450
Huyu Mzee anajua sana dini hasa ya kikristo na ni mshauri wa Askofu wake
 
Naanza kuyaamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa watakaochanjwa chanjo ya corona wote wataanza kuwa ma-zombie!

Tunaanza kuunganisha dots.

Huyu Spika Ndugai alishapata chanjo siku chache zilizopita.

Najaribu kufikiria, hivi huyu Spika Ndugai ndiyo wa kusema Yesu alikuwa na mke??😁
 
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone uhalisia wa injili ya Ndugai .

View attachment 1918450
Mbona yeye mwenyewe hajutii kwa aliyoyasema?

ANGALIA HILI NENO

" ANAOMBA RADHI KWA WAKRISTO WALIOKWADHIKA"

Neno WALIOKWADHIKA unamaana yeye hakukwadhika na kauli yake hiyo.
 
Huyu Mzee anajua sana dini hasa ya kikristo na ni mshauri wa Askofu wake
Maneno meeeeengi kupoteza muda,kumbe hata mistari haijui.Anatueleza safari zooote hizo, itusaidie nini.

Wabunge hawa wameshaadhibiwa bado spika anachukua muda mreefu (Hapo tunasema kumsimanga mbunge mmoja kulikoni hapo),

Mambo haya yanatusikitisha Watanzania jambo lisilokuwa na tija kwa Watanzania ndilo linachukua muda mrefu ndani ya bunge kujadiliwa? Ni kwamba wabunge hawakielewi au wanafanya makusudi wapate posho liende.

Tulitegemea katika hili kamati imeshatoa maamuzi lisipoteze tena muda lipite ndiooooooooooooooooo mambo yasonge.

Kwa bunge la leo,tulitegemea kabisa kusikia matatizo yaliyojitokea au kero mbalimbali zilizotokana na maamuzi ya wabunge zikawa kero kwa wananchi na kwao pia baada ya maamuzi yao kujadiliwa na kutolewa ufafanuzi na maamuzi mapya.Badala yake kipindi cha bunge kimekuwa cha mipasho.

Tulitegeme kusikia mjadala mzito na wa kina juu ya Tozo za simu,petroli kupanda kila kukicha, kodi za majengo zinazokatwa kwa makosa ukinunua umeme,usalama wa wananchi,katiba ya nchi,kubambikiwa makesi,msongamano wa mahabusu magerezani nk.kuna vitu kibao tena vya msingi.

Badala yake Spika wa Bunge anatueleza safari zake zisizo na lolote kwetu,na wabunge wanapiga makofi.Thisi is shame halafu bado Sina hakika kama gharama zote za safari hizo kama ni za kwake au ni kodi za wananchi wanyonge wa Tanzania.

Tujadili mambo yanayawaletea wananchi umaskini,tena wa kutupwa yaliyoamuliwa na wabunge waliopelekwa bungeni kuwakilisha wananchi na kuyatafutia suluhu.

Kwa sasa wabunge wetu wanajiwakilisha wenyewe na kuiwakilisha serikali.(Leo hii serikali imetangaza mafuta petroli diesel mafuta ya taa bei imepanda.Ilikuwa petroli shs.2543/-sijui kesho asubuhi inawezekana ikawa 2600/- kwa lita.Sasa najiuliza,marehemu tangu aongoze hii nchi kwa miaka 5 kama ilipanda ni kwa kiasi kidogo sana.Kwa nini sasa hivi inapanda kila mwezi, pili kwanini hatusikii tena mwezi huu imeshuka,mwezi mwingine imepanda kuna nini.Au huko nako kuna tozo ya posho za
 
Alisema anajua mpaka km zote za mji mtakatifu duh! inawezekana amewashinda manabii na maaskofu wetu hapa TZ 🤣 🤣
 
Job anasema, kwenye kanisa analosali yeye ni mzee wa kanisa, na pia ndiye mshauri wa Askofu kwenye kanisa lake. Je mtu asiyeijua vzi bibilia anawezaje kuwa mshauri wa Askofu??? na kuwa mzee wa kanisa? Job rudi kongwa kachunge ng'ombe.
 
Job anasema, kwenye kanisa analosali yeye ni mzee wa kanisa, na pia ndiye mshauri wa Askofu kwenye kanisa lake. Je mtu asiyeijua vzi bibilia anawezaje kuwa mshauri wa Askofu??? na kuwa mzee wa kanisa????? Job rudi kongwa kachunge ng'ombe.
Nakulivyoko hovyo sasa kule Kongwa utazania sio mwenyeji na kiongozi mzawa wa kule
 
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone uhalisia wa injili ya Ndugai .

View attachment 1918450
Kuna wakati huwa najaribu kufikiria, hivi hawa Viongozi wanawaongoza Manyangau au Binadamu? Speaker kwa kweli kapoteza kabisa weredi wa kuwa Kiongozi, na anajiamini sana Watanzania hatuwezi kumfanya lolote. Nadhani aelewe tu, ktk watu waliopoteza muelekeo na yeye yupo, busara zero kabisa. Asubiri kitu kimoja kinaitwa "MUDA" ukifika akumbuke akina Thomas Sankara.
 
Back
Top Bottom