Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

Kwenye hapo ulipo sema hatuwezi kumfanya lolote nakuunga mkono kabisa maana uwoga wa kuhukumu hawa viongozi umetujaa sana kisa utasikia Amani yetu,huku mfumuko wa bei ukipanda kila mara na mafuta yanapanda bei bila kikomo, wao wala hawana shida kiyoyozi ofisini,kwenye gari , marupu rupu kibao kwanini wasiwe na kiburi?
 
Anajitia aibu tu mavidonge yake anayomeza, wakati mwingine wanatakiwa kukaa kimya tu sio kujitia wanajua kila kitu Buinge lile ni Janga kwa watanzania ikianzia kwa huyo Job
 
Ndugai ni mtu mwenye chuki binafsi sn hafai
 
Kama hajaufuta usemi huo ni dhahiri hafai kuwa mshauri wa katekisti, achilia mbali Askofu!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Na hizo safari ameziweza kwa kupanda gharama zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…