Hao ilikuwa lazima wateke soko,sababu kabla ya hapo chumvi pekee ilokuwa inafanya vizuri sokoni ilikuwa ya Kenya.Ongeza na Neel salt. kipindi inaingia na matangazo yake waliyomtumia mzee majuto
Mkuu unaongea kama vile wenye maji ya Kilimanjaro ni Wehu. Huna maana hiyo lakini kauli zako ndio zinataka tuamini hivyo.Kuna maji feki mengi mtaani yenye nembo ya kilimajaro. Hata ladha yake ipo tofauti na Kilimanjaro Genuine
katika sherehe na matukio ya serikali ndo wamebaki kupeleka OG Ila mtaani fake tu
bado hawajasemaJuzi nimetoa 1000Tsh dukani wanipe maji
Nikashangaa napewa kilimanjaro 1 litre na chenji 300[emoji23]
Kutoka buku 2 hadi 700!!
Mengi ni kifo chake hawa madogo ndio chenga ,ila Mengi angekuwa level nyingine.Kilicho muumiza mengi alijisahau wenzake wakatumia mwanya huo lakini maji ya Kilimanjaro mpaka sasa bado ni bora zaidi pamoja na maji ya afya maji mengi yana chumvi akijipanga akashusha bei mbona bado jina analo tu mtu akikaa sokoni kwa muda mrefu kumshusha iko kazi labda afanye uzembe
haya ndo uje ununue sabuni sasaThat is so real. Your main concern should be "The customer"
Nitakuja next week nizizoe kabisa 😂haya ndo uje ununue sabuni sasa
Karibu sana SecurityNitakuja next week nizizoe kabisa 😂
Bila kusahau halotelWatu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja.
Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo hii kilimanjaro kakimbizwa sokoni.
Mitaani pia maji yalikuwa uhai, baadae akaja afya, ila hill water kaja mpya tu ila kawakimbiza sokoni.
Kwenye biashara ya ma bus. Nani aliwaza njia ya Moshi Arusha kuna bus zitakuja wazidi ma giant wa njia hiyo kwa miaka zaidi ya 20 yaani kilimanjaro express ama Dar express kwa wateja. TILISHO na yeye hakuogopa.. kaja sokoni mpya kwa mbinu ya wahudumu mabinti wapenda social media.. mwisho wa siku kaiteka njia bus zake kila siku zinajaa.
Hilo ndilo somo kubwa la biashara.
Usiogope waliokutangulia.
Haya maji nikiwa Arusha au Kilimanjaro ndo ntayanunua huku Dsm siyanywi yanakua mabaya sijui kwann.Mkoa gani? Nadhani haya maji yana mkoa na mkoa. Ya Arusha mbona mazuri tu, maana hata dogo alikuja akayakuta. Alistaajabu kwamba hayafanani na yq Dar
Hata hiyo miatano ni kubwa yale maji yamekuwa ya hovyoSisi tunanunua kilimanjaro lita 1 kwa sh 500.
Wasikudanganye niko hukuhuku maji ni mabaya kiujumla.Mi ni mywaji mzuri wa maji ya chupa nanunua cartoons ila kila nikinunua hola.Haya maji nikiwa Arusha au Kilimanjaro ndo ntayanunua huku Dsm siyanywi yanakua mabaya sijui kwann.
Nyanda za ipo dew drop inakimbiza adi wengine wanatetemeka maji mengine yananuka harufu ya jongooHujawahi kunywa maji ya Kilimanjaro yanayouzwa Nyanda za Juu Kusini,utatamani ni kheri ungepewa maji yaliyochotwa mtoni.