USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo, kwenye Biblia Hakuna Yesu mmoja, Kuna Kama akina Yesu wa wili walio Wai kutokea,
nao Ni Hawa wafuatao,
1) Yesu Kristo Mwana Wa Mungu Ambaye ndiye Aliye leta wokovu duniani na ambaye ndiye njia Ya kweli na Uzima kwa mjibu wa andiko hili Yohana 14:6
Halafu Kuna huyu hapa👇
2) Bar-Yesu
huyu Ni mtu mwenye mamayake mzazi na babayake mzazi
history yake inasema Anaitwa Bar-Yesu
hili Jina bar. Lina maana Kuna miungu iliitwa miungu ya bar. kwahiyo huyu bwana aliitwa bar. yesu kwasababu alikuwa akiitwa Yesu na alitumikia miungu ya kichawi, ha history yake inasema alikuwa mchawi na si mchawi tu, Bali alikuwa nabii wa Uongo, Soma hapo chini👇
Matendo ya Mitume 13:6 Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;
kwahiyo huyo ndiye yesu anaye tajwa na Hao manabii wa Uongo wapenda pesa kuliko Mungu, lakini uhalisia wa Neno la Mungu unasema karama au Baraka ya Mungu ya aina yoyote haipatikani kwa gharama ya fedha Soma hapa,
Matendo Ya Mitume 8:20
Kuna mtu alikuwa mchawi aliitwa simyoni alipoona watu wanawekewa mikono na Mitume na wanapona na wengine kupokea Roho mtakatifu akataka atoe fedha ili naye apewe karama hiyo, Mitume walimkemea nakumwambia upotelee mbali na fedha yako maana wadhani karama ya Mungu yapatikana kwa fedha,
wapendwa kifupi Ni kwamba mtumishi yoyote ambaye kwenye huduma yake imekaa kifedha fedha yaani kila kitu Ni fedha sijui maji, fedha, mafuta, fedha, kumwona, fedha, maombezi, fedha, ubatizo, fedha, kwamjibu wa maandiko Hawa watu Ni watu wa Bar-Yesu na Wala siyo watu wa Yesu Kristo
kasome maandiko haya huenda yatakusaidia,
1Timotheo 3:3-4
1Timotheo 6:10
Waebrania 13:5
Na: Kisha ujiulize swali wao kutoza watu fedha kwenye huduma Amri hii au maneno hayo wanayatoaga kwenye Biblia ipi?
na Kama kwenye hii hii mbona Mungu kaonya na kukemea kwamba karama yake kabisa haipatikani kwa fedha,
Sasa wao kwanini wanaongeza Mahali ambapo Mungu Hakusema.
Embu Chukua hii ikuonyeshe madhala ya kuongeza Mahali ambapo Mungu hakukwambia uongeze au madhala ya ondoa Mahali ambapo hujaambiwa uondoe, Ufunuo 22:8-