Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana. Nilijaribu kitambo jifunza nikaona ntachanganyikiwa.
Specs za machine yako zikoje mkuu mi nina Core i3 3rd generation na 4GB RAM vipi naweza fanya modelling kweli hapo.Hapa ndipo nilipo kwa sasaView attachment 2123189
Hii ni moja ya free software bora kabisa! Haina mpinzani kwenye industry yake.Hapa ndipo nilipo kwa sasaView attachment 2123189
Ndio unaweza fanya kwa hiyo ila rendering ndo ngoma labda kama utatumia maxon cinema ndo software nyepesi kwenye software za 3d japo ina gb nyingi ila ni very smooth kipindi nasoma kozi ya graphics chuo nimetumia blender, cinema na lightwave 3d laiini kwa sasa siko huko tena ni ushauri tu.Specs za machine yako zikoje mkuu mi nina Core i3 3rd generation na 4GB RAM vipi naweza fanya modelling kweli hapo.
Ndio unaweza fanya kwa hiyo ila rendering ndo ngoma labda kama utatumia maxon cinema ndo software nyepesi kwenye software za 3d japo ina gb nyingi ila ni very smooth kipindi nasoma kozi ya graphics chuo nimetumia blender, cinema na lightwave 3d laiini kwa sasa siko huko tena ni ushauri tu.
Shukrani sana mkuu, hiyo lightwave na cinema 4d ipi ni best kwa beginners.Ndio unaweza fanya kwa hiyo ila rendering ndo ngoma labda kama utatumia maxon cinema ndo software nyepesi kwenye software za 3d japo ina gb nyingi ila ni very smooth kipindi nasoma kozi ya graphics chuo nimetumia blender, cinema na lightwave 3d laiini kwa sasa siko huko tena ni ushauri tu.
Tumia cinema 4d acha lightwave ni ya zamani na hata tutorial zake ni chache ila ni nzuri sana hata hivyo kama si mwelewa ukiwa pekee yako nakushauri utafute mentor mcheki jamaa anaitwa Adam jama flani Yuko Riverside Kama uko Dar ana studio inaitwa adamdigicom anafundisha watu wengi tu, otherwise tumia hiyo cinema4d au maya 3d .Shukrani sana mkuu, hiyo lightwave na cinema 4d ipi ni best kwa beginners.
Nashukuru sana mkuu barikiwa sana bro.Tumia cinema 4d acha lightwave ni ya zamani na hata tutorial zake ni chache ila ni nzuri sana hata hivyo kama si mwelewa ukiwa pekee yako nakushauri utafute mentor mcheki jamaa anaitwa Adam jama flani Yuko Riverside Kama uko Dar ana studio inaitwa adamdigicom anafundisha watu wengi tu, otherwise tumia hiyo cinema4d au maya 3d .
Tutorial zinazoeleweka sio za youtube tafuta za lynda com nyingi zinaibiwa unaweza pata torrent au play list youtube.
Soma software yote fundamental za modeling, rigging na animation Mambo ya uv mapping n.k
Anyway Mimi sio mtu wa 3d, nakuambia haya kwa sababu nimeyapitia huko chuoni.
Wenye specialization zao kwenye hii kitu watakuwa mwanga zaidi.
specs zangu nazo ni low tu ni 5i 2gen shida inakuja wakat wa ku render ndo maana unaona natumia sana screenshots ila kwa specs zako nadhan inaweza ku run ila itakuwa slow sana kibishSpecs za machine yako zikoje mkuu mi nina Core i3 3rd generation na 4GB RAM vipi naweza fanya modelling kweli hapo.
HahahaHapa comments nasoma nyotanyota tu Wacha nitafute wenzangu wanaojadili scientific names za miti.
lightwave nilianzanayo kabra ya blender nikaona kama nafanya utoto vile nikachukua blenderTumia cinema 4d acha lightwave ni ya zamani na hata tutorial zake ni chache ila ni nzuri sana hata hivyo kama si mwelewa ukiwa pekee yako nakushauri utafute mentor mcheki jamaa anaitwa Adam jama flani Yuko Riverside Kama uko Dar ana studio inaitwa adamdigicom anafundisha watu wengi tu, otherwise tumia hiyo cinema4d au maya 3d .
Tutorial zinazoeleweka sio za youtube tafuta za lynda com nyingi zinaibiwa unaweza pata torrent au play list youtube.
Soma software yote fundamental za modeling, rigging na animation Mambo ya uv mapping n.k
Anyway Mimi sio mtu wa 3d, nakuambia haya kwa sababu nimeyapitia huko chuoni.
Wenye specialization zao kwenye hii kitu watakuwa mwanga zaidi.
Niko school hivi naweza fanya modelling then nikaenda kufanya rendering kwenye computer nyingine, make Computer lab naona machine zina specs za maana siwezi peleka project yangu nikafanyiapo rendering.specs zangu nazo ni low tu ni 5i 2gen shida inakuja wakat wa ku render ndo maana unaona natumia sana screenshots ila kwa specs zako nadhan inaweza ku run ila itakuwa slow sana kibish
specs zangu nazo ni low tu ni 5i 2gen shida inakuja wakat wa ku render ndo maana unaona natumia sana screenshots ila kwa specs zako nadhan inaweza ku run ila itakuwa slow sana kibish
Yeah unaweza tena ni rahisi
datura stramoniumHahaha
impereta silindika
tegeta minuta
comelina bangalisis