Nina imani alishindwa na lowassa ile 2015.JPM matokeo ya 2015 yalishampa hofu.
Naona unaendelea kumpigania ropo ropo wako bwana chawa wa Lisu 🤣🤣
Nina imani alishindwa na lowassa ile 2015.
Lakini baada ya kazi nzuri ule uchaguzi wa 2020 ulikuwa mwepesi sana kwake, asingebinya wapinzani angeacha uchaguzi uwe wa haki
johnthebaptist ni mshirika mwaminifu kwa Tundu Lissu.Huyo nimempasia kama Kamisaa WA Mchezo maana yeye anapenda mambo ya CHADEMA
Magufuli alikuwa muoga Sana bora hata ya Mbowe
Hivi jiwe ule mvuto alitoa wapi sijawahi kuona Raisi anayekubalika na wanachi wengi vijijini ambapo 70% ya watz na mijini jamaa alikuwa anakubalika sana.
johnthebaptist ni mshirika mwaminifu kwa Tundu Lissu.
Jamaa anampenda sana Lissu
CHADEMA kupotea kabisa ni ngumu ila itapoteza sana ushawishi wake. Kitatumika zaidi kuonyesha nchi ina upinzani ila kamwe haitakuwa tishio tena kwa CCM kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.Yaani huu uchaguzi CCM wameshinda kwa namna yoyote Ile
Iwe Lisu au Mbowe yoyote akipita chadema kimepasuka hicho.
Mbowe asingegombea baada ya Lisu kutangaza.
Au Lisu asingegombea kabisa.
Sijui hawakukaa kikao hapo ndio najiuliza.
Maana kwa sasa hao ni mafahali wawili
Maskini wengi wana roho mbaya sana. Raha ya maskini ni kuona tajiri anafilisika na kurudi kwenye msoto.Ukishagombana na matajiri automatically maskini watakupenda
He was too weak to excel and survive,that is why he passed away too early.we call it natural selectionMagufuli nihabari nyingine bro, usimlinganishe na vitu vya kawaida.
Mapaka sasaivi ndani ya CCM na Chadema kunawatu wanaogopa jinalake.
Wanaomtajataja kwa ubaya wanahofu mioyonimwao kwasababu wanajua reaction za wananchi dhidi ya raisiwao wa mfano mzuri kuwahi kutoka.
Nahuo ndio ukweli.