Pre GE2025 Kwenye chaguzi hizi hawataki mambo za kukamatwa na mabox ya kura, huu ndio muda wamejipanga kuiba kuliko vipindi vyote vya nyuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu jioni inaenda njema?

Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile.

Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine ambayo itahakikisha ushindi bila kutoa jasho.

Kwenye uandikishaji serikali za mtaa ilikuwa trela ya kuangalia itapokelewa vipi, kelele zitakuwa kiasi gani, wanaweza kupotezea au vipi. Sasa picha kamili wameipata. 2025 movie yenyewe inakuja, tutafurahia shoo.

Wazee wa kulalamika kwenye kila sehemu mtafanya nini? Mmejipangaje kukabiliana na hili? Maana mpaka sasa hakuna cha maana mmefanya. Mtasusa tena?
 
Unahitaji kuwa mjinga sana kushiriki uchaguzi ulioko kwenye mfumo huu, kisha utarajie matokeo tofauti na yanayotakiwa na huo mfumo.
 
Mtasusa tena?
Hii nayo bado ni mbinu ya kutegemewa?

Mbinu sahihi ni kujitokeza kwa wingi ambacho CCM hawajapata kukiona kwa wananchi kwenda kupiga kura. Wananchi wakisha piga kura wahakikishe hakuna kura itakayo haribiwa na mtu yeyote, awe polisi au CCM yeyote. Kuharibu/kuto hesabu/kutotangaza matokeo sahihi, huo ni uhalifu. Wananchi wawe tayari kuzuia kila aina ya uhalifu mahali oote utakao jitokeza.
 
Katika watu nawaona hawajielewi ni hawa wanaoamini CCM inaiba kura, Lowasa hakuwa mjinga hivyo asiwekeze nguvu kupinga matokeo aliona kabisa kashindwa kiharali

Yaani CHADEMA hii iliyojichokea ni ya kuibiwa kura kweli?
 
Weee bana weeee... kwenye hiyo list yako ya wajinga uweke viongozi wote wa CCM waliokiri hadharani uchaguzi wa 2020 ulikuwa mauza mauza...basically ni nchi nzima🤣🤣😹.... hivi ukiwa chawa ndio ubongo unatolewa kwenye fuvu?
 
Unahitaji kuwa mjinga sana kushiriki uchaguzi ulioko kwenye mfumo huu, kisha utarajie matokeo tofauti na yanayotakiwa na huo mfumo.
Wanatakiwa kutumia mbinu gani kukabiliana na hili? Wasuse na kuacha kushiriki kama wanafanya kasoro hizi zikijitokeza?
 
Hii nayo bado ni mbinu ya kutegemewa?

Mbinu sahihi ni kujitokeza kwa wingi ambacho CCM hawajapata kukiona kwa wananchi kwenda kupiga kura. Wananchi wakisha piga kura wahakikishe hakuna kura itakayo haribiwa na mtu yeyote, awe polisi au CCM yeyote. Kuharibu/kuto hesabu/kutotangaza matokeo sahihi, huo ni uhalifu. Wananchi wawe tayari kuzuia kila aina ya uhalifu mahali oote utakao jitokeza.
Umenena vema Mkuu
 
Wakuu jioni inaenda njema?

Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile.

Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine ambayo itahakikisha ushindi bila kutoa jasho.

Kwenye uandikishaji serikali za mtaa ilikuwa trela ya kuangalia itapokelewa vipi, kelele zitakuwa kiasi gani, wanaweza kupotezea au vipi. Sasa picha kamili wameipata. 2025 movie yenyewe inakuja, tutafurahia shoo.

Wazee wa kulalamika kwenye kila sehemu mtafanya nini? Mmejipangaje kukabiliana na hili? Maana mpaka sasa hakuna cha maana mmefanya. Mtasusa tena?
hawajajiandikisha, hawana watu wa kuwapigia kura, hawakubaliki kwa wananchi, hawaaminiki kwa wapiga kura, hawana sera, mipango mikakati madhubuti, hawana wagombea mahiri na kabisaa wamepoteza uelekeo. Malalamiko yao yoyote ni hot air.

Infact,
hakuna mahali wanaenda na wala hakuna kitu wanaweza kufanya hali yakua walipuuza zoezi la uandikishaji. Ni vema wakaanza kupuuzwa tangu mapema 🐒
 
Hii nayo bado ni mbinu ya kutegemewa?

Mbinu sahihi ni kujitokeza kwa wingi ambacho CCM hawajapata kukiona kwa wananchi kwenda kupiga kura. Wananchi wakisha piga kura wahakikishe hakuna kura itakayo haribiwa na mtu yeyote, awe polisi au CCM yeyote. Kuharibu/kuto hesabu/kutotangaza matokeo sahihi, huo ni uhalifu. Wananchi wawe tayari kuzuia kila aina ya uhalifu mahali oote utakao jitokeza.
Wananchi wapi hawa hawa wabongo?🤔🤔🤔
 
Katika watu nawaona hawajielewi ni hawa wanaoamini CCM inaiba kura, Lowasa hakuwa mjinga hivyo asiwekeze nguvu kupinga matokeo aliona kabisa kashindwa kiharali

Yaani CHADEMA hii iliyojichokea ni ya kuibiwa kura kweli?
Matokeo ya urais yanapingwa wapi yakishatangazwa? Au umeamua kuweka ujinga wako hadharani?
 
Wakuu jioni inaenda njema?

Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile.

Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine ambayo itahakikisha ushindi bila kutoa jasho.

Kwenye uandikishaji serikali za mtaa ilikuwa trela ya kuangalia itapokelewa vipi, kelele zitakuwa kiasi gani, wanaweza kupotezea au vipi. Sasa picha kamili wameipata. 2025 movie yenyewe inakuja, tutafurahia shoo.

Wazee wa kulalamika kwenye kila sehemu mtafanya nini? Mmejipangaje kukabiliana na hili? Maana mpaka sasa hakuna cha maana mmefanya. Mtasusa tena?
CCM walishasema wanazo mbinu zaidi ya mia moja za wizi wa kura na uchakachuaji wa matokeo, na hadi sasa wametumia mbinu moja tu kati ya hizo mia moja.
 
Katika watu nawaona hawajielewi ni hawa wanaoamini CCM inaiba kura, Lowasa hakuwa mjinga hivyo asiwekeze nguvu kupinga
Wewe niambie ni lini ccm ilishinda!
1995 Lyatonga Mrema alimshinda Mkapa kwa mbali haswa
2005 Jakaya alishinda vizuri alimshinda Mbowe
2010 Dr Slaa alimshinda Jakaya kwa mbali haswa
2015 Lowasa alimpiga Jiwe kwa mbali
2020 Lissu alimpiga Jiwe kwa mbaali hadi akafa.

2025 Lissu atampiga SSH kama analia hivi.
 
Uchaguzi wa 2010 na ule wa 2015 ulikuwa na upinzani sana siwezi kukataa lkn bado CCM ilishinda kihalali japo kwa kura zilizokaribiana,

Uchaguzi wa 2020 JPM alifanya figisu ni kweli kwa wabunge na madiwani, ni kweli uligubikwa na changamoto ila baada ya hapo siioni CHADEMA ile ya 2010-2015 ile CHADEMA ilikuwa moto sana, hii ya sasa haina ajenda watu wameisusa angalia mikutano yao
 
Back
Top Bottom