Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu jioni inaenda njema?
Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile.
Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine ambayo itahakikisha ushindi bila kutoa jasho.
Kwenye uandikishaji serikali za mtaa ilikuwa trela ya kuangalia itapokelewa vipi, kelele zitakuwa kiasi gani, wanaweza kupotezea au vipi. Sasa picha kamili wameipata. 2025 movie yenyewe inakuja, tutafurahia shoo.
Wazee wa kulalamika kwenye kila sehemu mtafanya nini? Mmejipangaje kukabiliana na hili? Maana mpaka sasa hakuna cha maana mmefanya. Mtasusa tena?