Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji.
Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye randi ya kwanza moja kwa moja ili tufundishane maana ya ustaarabu wkwenye michezo.
Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye randi ya kwanza moja kwa moja ili tufundishane maana ya ustaarabu wkwenye michezo.