Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho.
Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂
Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili?
Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe rohoni.
Kwa nini usiwaambie hao viongozi wako wa dini kwamba, Utatoa sadaka kiroho na huyo Mungu apokee sadaka yako rohoni?
Kuomba kiroho.
Kuombewa kiroho.
Ibada kiroho.
Maisha yako ni ya kiroho.
Sasa kwa nini utoe hela kimwili?
Kwa nini utoe hela kimwili, Kama maisha yako ni ya kiroho?
Tafakari chukua hatua.
Religion is a business.
I'm out.