Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Christianity is a business.
Mungu ambaye mnaamini yeye ndiye mmiliki wa kila kitu, Unamtolea sadaka ili nini?Jamani,naombeni mumpumzishe Mungu wetu mmemwandama kweli safari hii....huto tuhela twenyewe sasa π ...haya msitoe ,ingieni ibadani mkimaliza ibada rudini kwenu
Ila sadaka ya kujifinish hapana jameniπ€¦π
Mwaka 320AD... π π π
Kudanganywa ni sehemu ya maisha mkuu....Mungu ambaye mnaamini yeye ndiye mmiliki wa kila kitu, Unamtolea sadaka ili nini?
Kama huyo Mungu ndiye mmiliki wa kila kitu ulimwenguni, Anahitaji kutolewa sadaka ili afaidike au apate nini?
Huoni kwamba unaliwa pesa zako bure tu kwa kudanganywa na viongozi wa dini?
Kama unapenda kudanganywa huo ni uhuru wako wa kikatiba kabisa.Kudanganywa ni sehemu ya maisha mkuu....
Kwa hiyo unawashauri wachungaji,mitume na manabii wafanye nini ili wapate pesa? Sio unakosoa bila kuleta suluhisho.Kama unapenda kudanganywa huo ni uhuru wako wa kikatiba kabisa.
Lakini at least ujue ukweli, ili wakati unadanganywa utambue kwamba hapa ninadanganywa.
Ukiamua kuendelea kudanganywa, well and good.
Lakini at least ukweli umeujua.
Watafute kazi za kufanya.Kwa hiyo unawashauri wachungaji,mitume na manabii wafanye nini ili wapate pesa? Sio unakosoa bila kuleta suluhisho.