KumbembeKumbeeee
huku ni kunichokoza sasaKumbembe
Si ni sabato leo ukasali, sasa nimchodhe nani?huku ni kunichokoza sasa
Huu ni ujinga mwingine ambao unaangamiza taifa la Tanzania. Ni ulimbukeni wa kuiga kila kitu kilicho mbele yetu. Unakuta watu wanapoteza mamilioni kwenye harusi. Kongole kwa waislam kwa kufanya harusi simple japo siku hizi nao kuna baadhi wanaanza kuiga ufahari wa dini nyingine.Ni kweli na huu mzigo wenye harusi wanaupeleka kwenye michango, watu wanaanza kuchukia magroup ya wasapu🤣
Ni wizi mtupu michango mikubwa ukifika harusini viserengeti vya kuhesabiwa mpaka nikauliza kwanini vinywaji visiwe self-service wakaniambiaaa haaaaaahaa kibongobongo wataiba.Huu ni ujinga mwingine ambao unaangamiza taifa la Tanzania. Ni ulimbukeni wa kuiga kila kitu kilicho mbele yetu. Unakuta watu wanapoteza mamilioni kwenye harusi. Kongole kwa waislam kwa kufanya harusi simple japo siku hizi nao kuna baadhi wanaanza kuiga ufahari wa dini nyingine.
Hii ndo naitaka....ndugu wengi mno hao...wanne wanatosha
Ni hatari sana mkuuHuu ni ujinga mwingine ambao unaangamiza taifa la Tanzania. Ni ulimbukeni wa kuiga kila kitu kilicho mbele yetu. Unakuta watu wanapoteza mamilioni kwenye harusi. Kongole kwa waislam kwa kufanya harusi simple japo siku hizi nao kuna baadhi wanaanza kuiga ufahari wa dini nyingine.
nmejipatia kijana mahali kwaio tulia huko nje ngoj nkuonesheSi ni sabato leo ukasali, sasa nimchodhe nani?
Nimependa sana hii, ni movie?