Kwenye harusi kuna hela nyingi sana ukijua jinsi ya kuzichukua. Harusi zinakutajirisha bila jasho kali

Kwenye harusi kuna hela nyingi sana ukijua jinsi ya kuzichukua. Harusi zinakutajirisha bila jasho kali

Habari wadau.

Leo ninapenda tujadili biashara zilizopo ndani ya tukio la harusi. Send off, kitchen party na sherehe zinginezo.

Mtu ukijiongeza na ukajua kucheza na tukio la harusi za watu. Kila wekend wewe ni kupiga hela tu walizochangishwa watu kwa mbinde.

1. Mc wa harusi wanachukua mamilioni kila siku. Mtu kama garab kwa wiki moja tu anatengeneza mpaka milioni 20 kwa kucheza na harusi tu na sherehe zingine

2. Video na picha

3. Chakula

4. Vinywaji

5. Mapambo

6. Car rentals za maharusi

7. Singers na bands

8 . Watoa huduma Waliosahaulika

Hawa wote huwezi kuwaambia wazichukie harusi
TRA wanakuja huko very soon kwa nguvu kubwa sana
 
Mi nataka nijikite kwenye mapambo naona ni rahis upande huo
Kuna ushindani mkali unakua kwa kasi, wavamizi wameingia kwa gear hiyohiyo ya "ni rahisi sana" biashara imekufa bei zimelala wageni wanafanyia kwa njaa. Wenzako wanaondoka wewe ndio unaingia.

Unless unaingia kuwa mfanyakazi ujipate baada ya miaka kama miwili ila kuwekeza utapambana kidogo.
 
Mtakapoanza kujadili fursa zinazopatikana kwenye misiba mnistue mimi ni mmoja ya watoa Huduma wa idara ya misiba kwa wale wote wenye uhitaji wa majeneza aina zote kama
-MAJENEZA GRADE A
-MAJENEZA YA GRADE YA KATI
-MAJENEZA YA KAWAIDA
-MAJENEZA USED
Pia tunatoa huduma za uchimbaji wa makaburi, mazishi, ukarabati na ujenzi wa makaburi nk.
Napatikana Dodoma mjini.
 
Kumbe tena bei zimeanza kushushwa,hapo sasa itakuwa ni uboya,kusubir hela ndogo za msimu
 
Huu ni ujinga mwingine ambao unaangamiza taifa la Tanzania. Ni ulimbukeni wa kuiga kila kitu kilicho mbele yetu. Unakuta watu wanapoteza mamilioni kwenye harusi. Kongole kwa waislam kwa kufanya harusi simple japo siku hizi nao kuna baadhi wanaanza kuiga ufahari wa dini nyingine.
Eti waislamuuuuuu enhee, kuna send off ya familia dini hiyo na kwenye kamati nimo, mbona wanatusumbua na michango, bajeti tu mil 60, mambo za sherehe ni utashi wa mtu na uwezo wa kiuchumi sio imani yake
 
Maeneo yenye Pesa Unapoongelea EVENT

1.Mziki
2.Cattering
3.Mapambo (sio sanaaa)
4.Usafiri (sio kivilee)

Ukiweza Tafuta Pesa yako Mtaji kuanzia 10m na kuendelea ukajikita kwenye 1 & 2 utatoboa.

Binafsi no.1 naielewa ila bajeti yake sio chini ya 50m PLUS ila pia kuingiza 10m to 20m kwa mwezi will be normal.
 
Mtakapoanza kujadili fursa zinazopatikana kwenye misiba mnistue mimi ni mmoja ya watoa Huduma wa idara ya misiba kwa wale wote wenye uhitaji wa majeneza aina zote kama
-MAJENEZA GRADE A
-MAJENEZA YA GRADE YA KATI
-MAJENEZA YA KAWAIDA
-MAJENEZA USED
Pia tunatoa huduma za uchimbaji wa makaburi, mazishi, ukarabati na ujenzi wa makaburi nk.
Napatikana Dodoma mjini.
used likoje mkuu
 
Maeneo yenye Pesa Unapoongelea EVENT

1.Mziki
2.Cattering
3.Mapambo (sio sanaaa)
4.Usafiri (sio kivilee)

Ukiweza Tafuta Pesa yako Mtaji kuanzia 10m na kuendelea ukajikita kwenye 1 & 2 utatoboa.

Binafsi no.1 naielewa ila bajeti yake sio chini ya 50m PLUS ila pia kuingiza 10m to 20m kwa mwezi will be normal.

Mziki unaendana na u MC. Wanachukua kwa pamoja
 
Back
Top Bottom