kwenye hili kuna tatizo?

kwenye hili kuna tatizo?

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Kuna tatizo gani endapo mtu akiaply kupitia matokeo ya kidato cha sita na wakat huo huo akaaply kupitia matokeo ya diploma?,mliozoea kutukana na kudis watu naomba mnivumilie na mnijibu kistaarabu
 
hapo Mdau utakua unajifunga mwenyewe coz Me naamini kua hizo informations utakazo jaza zitakua zinafanana so moja kwa moja utadhaniwa kuwa wewe ni mdanganyifu. Ushauri wangu jaribu kutumia kigezo kimoja tu na sio uchanganye vyote coz unaeza kosa kote na kuishia matatani. Ni hayo tu.
 
ahsanteni hofu yang ni kuwa kama ushindan utakuwa mkubwa upande mmoja si mtu anaweza kosa chuo vile vile?,
 
Tatizo hujiamini na ukitumia vyote jua umekosa tayari!
 
Tumia kimoja wapo mkuu, usiogope ushindani kwani upo kila kona
 
Nawashukurun wote kwa michango yenu,Ushaur wenu ngoja nichanganye na za kwangu! Niufanyie kazi
 
Back
Top Bottom