Kuna tatizo gani endapo mtu akiaply kupitia matokeo ya kidato cha sita na wakat huo huo akaaply kupitia matokeo ya diploma?,mliozoea kutukana na kudis watu naomba mnivumilie na mnijibu kistaarabu
hapo Mdau utakua unajifunga mwenyewe coz Me naamini kua hizo informations utakazo jaza zitakua zinafanana so moja kwa moja utadhaniwa kuwa wewe ni mdanganyifu. Ushauri wangu jaribu kutumia kigezo kimoja tu na sio uchanganye vyote coz unaeza kosa kote na kuishia matatani. Ni hayo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.