Kwenye hizi daladala natamanigi kunyofoa ways za redio

Kwenye hizi daladala natamanigi kunyofoa ways za redio

Russia is not your enemy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
373
Reaction score
625
Kelele za ajabu sana. Unapanda dalafala una stress zako unakuta mziki sauti juu.

Au asb unakuta station**** wanapiga story kutoka vichwani mwao, mawazo Yao idea zao hazina logic yoyote.

Kuna dalafala Moja imeandikwa pale ndani juu kwamba...nanukuu...''SAMAHANI ABIRIA SAUTI HAIPUNGUI" Mwisho wa kunukuu.

Basi nilikaa kimya. Kununua gari langu is fine lkn civilization ni kitu kingine
 
Nunua gari lako afu ung’oe. Otherwise heshimu magari ya watu ngumbaru wewe. Kama muziki unakukera si umuombe dereva apunguze sauti. Vijana wa siku hizi wajinga sana. Tatizo sisimizi mnatafuta solution tembo
Huo upuzi wa kupiga mziki kwa sauti kubwa upo africa tu,nchi zilizostaarabika hukuna ujinga
 
Wengine wanazihitaji hizo kelele
Nikiwepo mm hapa,, Itokee nimekaa kile kiti cha mbele karibu na lile bechi wanalokaaga sana wanafunzi kwambele awe kakaa mdada (wenyewe mnaitaa pisi) tuwe tumepishanisha miguu halafu huo mziki ndio uwe mzito [emoji41][emoji41]
 
Ukizeeka kelele hazifai kwasababu unasikilizia mdeni wako ana ubali gani nawewe.
 
Back
Top Bottom