Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Yah ili apunguze makasiriko [emoji1]ili anunue gari lake[emoji38]
Uzi tayarKelele za ajabu sana
Huo upuzi wa kupiga mziki kwa sauti kubwa upo africa tu,nchi zilizostaarabika hukuna ujingaNunua gari lako afu ung’oe. Otherwise heshimu magari ya watu ngumbaru wewe. Kama muziki unakukera si umuombe dereva apunguze sauti. Vijana wa siku hizi wajinga sana. Tatizo sisimizi mnatafuta solution tembo
Nikiwepo mm hapa,, Itokee nimekaa kile kiti cha mbele karibu na lile bechi wanalokaaga sana wanafunzi kwambele awe kakaa mdada (wenyewe mnaitaa pisi) tuwe tumepishanisha miguu halafu huo mziki ndio uwe mzito [emoji41][emoji41]Wengine wanazihitaji hizo kelele
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukisafiri na mabasi ya mikoani yanayoweka movies za kivita na majitu kama majini au miziki ya jejejejejeje utapasua TV.
Sasa huwezi kuwabadilisha watu hawa kuwastaarabisha. Ni rahisi wewe kujistaarabisha wewe kuliko jamii nzima. Nunua gari lako au omba sauti ipunguzwe.Huo upuzi wa kupiga mziki kwa sauti kubwa upo africa tu,nchi zilizostaarabika hukuna ujinga
🤣🤣🤣Daladala mwendokasi ni vurugu tu
Mtu hata kuongea na sim huwezi
Ova