Kwenye hizi daladala natamanigi kunyofoa ways za redio

Nunua gari lako afu ung’oe. Otherwise heshimu magari ya watu ngumbaru wewe. Kama muziki unakukera si umuombe dereva apunguze sauti. Vijana wa siku hizi wajinga sana. Tatizo sisimizi mnatafuta solution tembo
Mkuu sio yote tafadhali.
 
Huo upuzi wa kupiga mziki kwa sauti kubwa upo africa tu,nchi zilizostaarabika hukuna ujinga
Nchi za kistaarabu dereva anaweka kamziki, kwanza hakana mikwaruzo halafu Kwa mbali. Kama ni mziki baas mlaini very romantic. Kama ni waongeaji aka wapiga Domo wanaongea very romantic kama kina jimmy kabwe. Bongo usiombee uwassikilizw kina xyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…