Mzee Dialo kamaliza hasira zoteNyongo OG ilikuwa ya Antoni peke yake...imechoma mno..nyingine zote ni yokozuna mixer veve
Ila wenyewe ndani mwao wanafarakana Kati ya wenye mawazo huru na mawazo mgando.Huku Diallo, kule Mtaka.
Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.
Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.
Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.
Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.
Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.
#CCMhuruMovement
CHADEMA TWENDE NA DIALO 2025Huku Diallo, kule Mtaka.
Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.
Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.
Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.
Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.
Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.
#CCMhuruMovement
Ataachaje kuwa na nyongo wakati misheni zake za kutokulipa kodi zilivunjwaa na jembe..kuna watu ni vilaza sana..yaan mtu ni mwizi alaf kuna mijitu inawashabikia hiv ni lini watu wataacha kufuata hisia zao na kutanguliza maslahi ya nchi?Hahahaha huyo anaonekana asinge release ile nyongo ingemletea tabu sana
Ya Antoni bado ni funika bovu ndio maana nyoka wote walitoka pangoniYaani, ile ya Mtaka unaiona ya kawaida sio? Dah....!
imechoma mpaka kumoyoNyongo OG ilikuwa ya Antoni peke yake...imechoma mno..nyingine zote ni yokozuna mixer veve
In Latin Baby Names the meaning of the name Antony is: Worthy of praise; of value. Saint Anthony is the patron sain of poor people.Huku Diallo, kule Mtaka.
Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.
Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.
Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.
Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.
Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.
#CCMhuruMovement
Paschal katuita tukawe waandishi huru kama yeyeHuku Diallo, kule Mtaka.
Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.
Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.
Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.
Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.
Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.
#CCMhuruMovement
Jana Warioba naye kajaziaYa Antoni bado ni funika bovu ndio maana nyoka wote walitoka pangoni