Kwenye hizi wiki akina 'Antony' wanapiga mwingi sana. Hawa sasa ndio wana CCM huru / Wana CCM asili

Kwenye hizi wiki akina 'Antony' wanapiga mwingi sana. Hawa sasa ndio wana CCM huru / Wana CCM asili

Na wenyewe mawazo mgando ndo wanaibuka kidedea maana ni wengi balaa na wana courage za ajabu yaani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wale ni bendera fuata upepo
 
Huku Diallo, kule Mtaka.

Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.

Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.

Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.

Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.

Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.

#CCMhuruMovement
Yeah Antony nadhani alitumwa na kina kinana.
 
Mtaka hii ndio kazi unayoweza, kutumia influencers wa mitandaoni kukupamba na kukusifia 24/7.
Ila ipo siku mama Samia atakumulika, maana una upigaji sana
Acha majungu wee maku weka ushahidi hapa Katikat wakuu wa mikoa mtaka ni bora aisee
 
Back
Top Bottom