Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Humo ndani mbona kung'atana kwingi nini kimewaendea kombo.Nimekuelewa ghafla nikashangaa sijakuelewa Mkuu. Nipanulie kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humo ndani mbona kung'atana kwingi nini kimewaendea kombo.Nimekuelewa ghafla nikashangaa sijakuelewa Mkuu. Nipanulie kidogo
Huyu Jaji akikutana na Aloyce Nyanda anaweza akatema vitu vingi sn sema yule mtangazaji wa ITV (sijui Fahia Middle) huwa ni muoga sn kuuliza maswali ya msingi muda mwingi ni kuchekacheka hana issue yoyote.
Na MwiguluCHADEMA TWENDE NA DIALO 2025
TRA ni wapelelezi siku hizi? Ni mahakama pia? stupidHili ndilo tatizo kubwa la watanzania wengi mno..yaan watu hawataki kusoma, kufuatilia habari, kuujua ukwel wao ni kupayuka payuka tu.
Uwizi uthibitishwajee zaid ya kuthibitishwa na taasisi ya serikali ya ukusanyaji mapato kuwa hawalipi kodi? Unataka uthibitisho upi? Unataka uletewe file lake la malipo ya kodi? Unataka kina rugemalira wakwambie wao hawajaiba?
Hili linafikirisha sana kwa akili hizi za watz..tuna safari ndefu sana
Na. 1. Dotto Bulendu 2. Aloyce Nyanda na mwisho Pascal MayyalaNa mwingine ni Ndoto Bulendu, yeye pia anajua sana kuuliza maswali ya msingi.
GoodTRA ni wapelelezi siku hizi? Ni mahakama pia? stupid
Itakuwa ngumu sana kwa wanajamvi JF kumchukulia serious tena Pascal. He has simply lost the plot!Paschal yupo njiani kuleta nyuzi zake.
Kaa kwa kutulia p anajipanga
Ya Antoni bado ni funika bovu ndio maana nyoka wote walitoka pangoni
Yaaaaniiii anatufaaa kupeperusha bendera ya chadema 2025Kwanini kijani tusiende nae.
Sisi chadema tunapenda watu jamiii ya akina dialoNa Mwigulu
Huku Diallo, kule Mtaka.
Hawa ndio wana CCM huru / wana CCM asili.
Na kama ikiwezekana, baada ya Mama Samia then it could be Antony Mtaka. Anaijua Tanzania, anawajua watanzania.
Hebu Pascal Mayalla naomba uje upandishe nyuzi zako zile, japo nyakati hizi umeonekana kuyumba mno. Usisahau pia kunipa 'credit'.
Kudos wana CCM wa ukweli, wazalendo wa kweli wa Taifa letu.
Baada ya Mama Samia, mtu anayefuata ni Antony Mtaka.
#CCMhuruMovement
Na Warioba ni mwizi?Hili ndilo tatizo kubwa la watanzania wengi mno..yaan watu hawataki kusoma, kufuatilia habari, kuujua ukwel wao ni kupayuka payuka tu.
Uwizi uthibitishwajee zaid ya kuthibitishwa na taasisi ya serikali ya ukusanyaji mapato kuwa hawalipi kodi? Unataka uthibitisho upi? Unataka uletewe file lake la malipo ya kodi? Unataka kina rugemalira wakwambie wao hawajaiba?
Hili linafikirisha sana kwa akili hizi za watz..tuna safari ndefu sana
Nikki VIP tenaMtaka hii ndio kazi unayoweza, kutumia influencers wa mitandaoni kukupamba na kukusifia 24/7.
Ila ipo siku mama Samia atakumulika, maana una upigaji sana
😂😂😂😂😂😂 Inachekesha...CHADEMA TWENDE NA DIALO 2025
Sijui Kwa nini JF kwa sasa haimuamini PItakuwa ngumu sana kwa wanajamvi JF kumchukulia serious tena Pascal. He has simply lost the plot!
Hayo ndo matamanio yangu. Mungu ibariki TANZANIA...[emoji817][emoji736][emoji736][emoji1545]Mkuu, Mshana Jr
Mimi napenda kuamini kwamba Mtaka is a LEADER tena kiongozi haswa. Hata ukimuona anaongea the man is genuine and solid in his beliefs and ideas. Sijawahi kumuona akiongea kwa kumuogopa mtu au kujipendekeza. He is REAL.
Ningetamani huyu bwana baada ya mda achukue sabbatical akapige hata course ya mwaka mmoja Harvard kwenye leadership na public policy. Fursa kama hizi zitamjengea uwezo wa kujiamini zaidi lakini wa kuwajua mabeberu kwa undani zaidi.
Naamini watu design ya Mtaka ndo future ya taifa letu. Ni hazina. Tunahitaji kuwatambua watu kama akina Mtaka (naamini hata wengine wapo), mapema na kuhakikisha tunawasaidia kwa nguvu zote....
NB: Imagine kwa uzalendo wa mwendazake angepata exposure proper kuhusu maana na matakwa ya uongozi wa juu wa taifa, Tanzania tungekuwa tunaongea mengine. Haikuwa bahati yetu.
Mama Samia namuangalia kama kiongozi wa mpito. Transitional leader. Angetusadia kutupa zawadi ya katiba mpya na nzuri na kuhakikisha tunapata viongozi wanaojielewa baada ya kipindi chake. Then akatulie awe mama wa taifa. Sisi watanzania tutamtunza vizuri sana kwa kodi zetu.
Hayo ndo matamanio yangu. Mungu ibariki TANZANIA.
Watamwita bungeni kama yule aliekuwa anafatilia watoto waliotelekezwa!! Nawaza tu!Nyongo OG ilikuwa ya Antoni peke yake, imechoma mno. Nyingine zote ni yokozuna mixer veve