Kwenye hizi wiki akina 'Antony' wanapiga mwingi sana. Hawa sasa ndio wana CCM huru / Wana CCM asili

Huyu Jaji akikutana na Aloyce Nyanda anaweza akatema vitu vingi sn sema yule mtangazaji wa ITV (sijui Fahia Middle) huwa ni muoga sn kuuliza maswali ya msingi muda mwingi ni kuchekacheka hana issue yoyote.

Na mwingine ni Ndoto Bulendu, yeye pia anajua sana kuuliza maswali ya msingi.
 
TRA ni wapelelezi siku hizi? Ni mahakama pia? stupid
 
Wakati ukuta,, hauwezi kushindana nao
 
Ya Antoni bado ni funika bovu ndio maana nyoka wote walitoka pangoni

Mkuu, Mshana Jr

Mimi napenda kuamini kwamba Mtaka is a LEADER tena kiongozi haswa. Hata ukimuona anaongea the man is genuine and solid in his beliefs and ideas. Sijawahi kumuona akiongea kwa kumuogopa mtu au kujipendekeza. He is REAL.

Ningetamani huyu bwana baada ya mda achukue sabbatical akapige hata course ya mwaka mmoja Harvard kwenye leadership na public policy. Fursa kama hizi zitamjengea uwezo wa kujiamini zaidi lakini wa kuwajua mabeberu kwa undani zaidi.

Naamini watu design ya Mtaka ndo future ya taifa letu. Ni hazina. Tunahitaji kuwatambua watu kama akina Mtaka (naamini hata wengine wapo), mapema na kuhakikisha tunawasaidia kwa nguvu zote....

NB: Imagine kwa uzalendo wa mwendazake angepata exposure proper kuhusu maana na matakwa ya uongozi wa juu wa taifa, Tanzania tungekuwa tunaongea mengine. Haikuwa bahati yetu.

Mama Samia namuangalia kama kiongozi wa mpito. Transitional leader. Angetusadia kutupa zawadi ya katiba mpya na nzuri na kuhakikisha tunapata viongozi wanaojielewa baada ya kipindi chake. Then akatulie awe mama wa taifa. Sisi watanzania tutamtunza vizuri sana kwa kodi zetu.

Hayo ndo matamanio yangu. Mungu ibariki TANZANIA.
 
Huyu ndiye anayajua maisha ya m_tanzania,siyo kutuletea unafiki huku wanao wakisoma kwenye mazingira mazuri,makambi yana chachu kubwa ya kuinua ufaulu,serikali iliangalie hili,itafute mechanism ya wanafunzi kula shuleni ht kwa vidato vya mitihani kwa kuanzia,pia ijenge hostels za kuhifadhi walengwa hawa,kwa kuanzia.
Ninasema kwa kuanzia kwani ni ukweli usiopingika kuwa wanafunzi wote wanahitaji haya mazingira kwa ustawi wa elimu,ila kutokana na changamoto ya rasilimali pesa tungeanzia kwa vidato tajwa hapo juu,HONGERA MH. MTAKA[emoji122][emoji122][emoji122]
 

Mkuu, huyo Mtaka amesemaje kuhusu Mwendazake?
 
Na Warioba ni mwizi?
 
Hayo ndo matamanio yangu. Mungu ibariki TANZANIA...[emoji817][emoji736][emoji736][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…