Kwenye hizi wiki akina 'Antony' wanapiga mwingi sana. Hawa sasa ndio wana CCM huru / Wana CCM asili

Na wenyewe mawazo mgando ndo wanaibuka kidedea maana ni wengi balaa na wana courage za ajabu yaani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wale ni bendera fuata upepo
 
Yeah Antony nadhani alitumwa na kina kinana.
 
Mtaka hii ndio kazi unayoweza, kutumia influencers wa mitandaoni kukupamba na kukusifia 24/7.
Ila ipo siku mama Samia atakumulika, maana una upigaji sana
Acha majungu wee maku weka ushahidi hapa Katikat wakuu wa mikoa mtaka ni bora aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…