Kwenye hotuba ya Samia hajasema D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka D9

Kwenye hotuba ya Samia hajasema D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka D9

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
kwenye hotuba ya ndugu samia hajasema #D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka #D9

Kwa kifupi anaogopa balaa amechanganyikiwa na upinzani wa gen z
 
Unajua kujitoa akili aisee 😅😅😒
 
Samia was addressing the wrong audience kwasababu hao wazee hawaelewi undani wa matatizo ya vijana kwani wengi wao wamechoka na wanapata pension. Vijana ingawa ni watoto wao hawawasikilizi kwasababu hawa ndio wenye mfumo unaowakandamiza ; it is a question of a genetational gap! Wakati watoto wao wanaona kuandamana ni nija ya kupeleka ujumbe kwa watawala kuhusu masahibu yanayowafika ,wazee wanaona maandamano kama ni fujo ya kutaka kuangusha serikali!
 
Amemaanisha curfew hadi tarehe 26 Dec, ita last for atleast 16 days starting from 9 Dec or early....

The fear (yirah) of the Lord is the beginning of wisdom (chokmah)...
Proverbs 9:10 In other words, revering God's awesomeness is the starting point of our own insight and moral discernment ... that's good for us.
 
Leo mamlaka batili imejikaza sana kutoweka watu lockdown na kusambaza askari juani kuzuia maandamano ya kupinga utekaji na mauwaji
 
Leo mamlaka batili imejikaza sana kutoweka watu lockdown na kusambaza askari juani kuzuia maandamano ya kupinga utekaji na mauwaji
Mbona muoga si nasikia ubungo , kawe na mbagala wanakiwasha sasa wewe mpambania haki bado upo Jf unalalamika badala ya kuwa front ?
 
Watu wanakula bia wewe unaandamana? Bumbavu
 
Leo mamlaka batili imejikaza sana kutoweka watu lockdown na kusambaza askari juani kuzuia maandamano ya kupinga utekaji na mauwaji
Tutaendelea kuwaandamanisha hao mazafakas unless and until they play by the rule!

K’manina zao!
 
Back
Top Bottom