Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mbona muoga si nasikia ubungo , kawe na mbagala wanakiwasha sasa wewe mpambania haki bado upo Jf unalalamika badala ya kuwa front ?Leo mamlaka batili imejikaza sana kutoweka watu lockdown na kusambaza askari juani kuzuia maandamano ya kupinga utekaji na mauwaji
Makanyaboya haya...Mbona muoga si nasikia ubungo , kawe na mbagala wanakiwasha sasa wewe mpambania haki bado upo Jf unalalamika badala ya kuwa front ?
Tutaendelea kuwaandamanisha hao mazafakas unless and until they play by the rule!Leo mamlaka batili imejikaza sana kutoweka watu lockdown na kusambaza askari juani kuzuia maandamano ya kupinga utekaji na mauwaji