Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Makachelo hawa wawili wanalao jambo. Wacha tuone kama maalim hajajitangaza tena kinyume na sharia za uchaguzi.
 
Ni heshima kuwa na uchambuzi wa aina hii. Hata hivyo kwa tunaomfahamu Maalimu Seif hii ndiyo hulka yake pale anapoona maslahi yake yanaguswa. Na ndicho tumekuwa tukumtahadharisha Kiongozi mkuu wa Chama. Sio kwa Membe tu, kikwazo chochote kitakachofanya Maalimu Seif na team yake wasifikie malengo yao wako tayari kukufitini na kukuchafua na ndio kazi aliyokuwa akipambana nayo Prof Lipumba wakati wote.

Maalimu aliitafuta ACT yenye viongozi wasio tishio ili kupata platfoam ya kutimiza njozi za kuwa Rais. Kwa sababu Maalimu hana Interest na Bara ana Interst na Visiwani (Kwa mujibu wa kauli zao wenyewe), akiupata ACT haitakuwa tena ilivyo sasa itaendeshwa kwa kadili watakavyo wahafidhina wa Maalimu.

Marehemu Mapalala, Marehemu Aboud Jumbe na Lipumba wanaujua moto wa Maalimu sasa ni zamu ya Membe akimalizana naye anafuata Kiongozi Mkuu wa Chama.
 
Pamoja na yote kumbuka watu wako kwenye vita ya kutaka kuing'oa ccm - and they mean business! Naamini kabisa kwamba Maalim hakukurupuka kufanya ile press conference. Bila shaka kuna mawasiliano ya ndani na ya kina yamefanyika kati ya Maalim, Zitto na Membe mwenyewe.

Lakini pia, zaidi ya robo tatu ya muda wa kampeni umemalizika ila hakuna ushahidi wowote kumwonyesha Membe akiwa kwenye jukwaa lolote akimnadi mgombea yeyote wa ACT! Sasa kama Maalim kaona dalili za kirusi kwenye hizi dakika za majeruhi ulitaka amchekee wkt akiona wazi kabisa kirusi kinatoboa mtumbwi?
 
nachekaga sana nikisikia wazee wa mihemko...hivi mnajua huyo maalim seif ndo snitch namba moja..yeye alimsemea aboud jumbe kwa nyerere kisa jumbe alitaka mambo ya zanzibar yafanyiwe kazi...kwanza hao washika katiba hadi sasa washaivunja sana hiyo katiba yao
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-10-21 at 08.06.29 (1).jpeg
    47.2 KB · Views: 2
They have realised that Membe is a moole in ACT that's why they came up with what they are telling the mass kuwa watampigia kura Tundu Antipas Lissu kwa nafasi ya urais wa JMT.
 
Explicit is better than implicit
 
Nakubaliana na kichwa cha habari.
 

Membe Camilius Bernad atawanyoosha hao matapeli wa kisiasa muda sio mrefuu

Tunahitaji demokrasia tunahitaji vyama vingi lakini halihitaji haya magenge ya wasaliti wa taida
 
Tatizo membe hakufanya kama lowasa kwamba pesa zake za mfukoni ndo zifanye kila jambo wakati anajua kwamba kuna fungu toka nje la kusaport chama...
 
Kwani si walikaa na kukubaliana kwenye vikao halali vya Chama??? Tatizo lipo wapi??? Kwani katiba yao haijasema mambo ya msingi yataamuliwa na vikao halali vya Chama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…