Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Humpigii kura tena Magufuli we mwana Lumumba??[emoji23][emoji23]
anadhani anaweza kumpa kura [emoji818] mpepewa feni wao ya ushindi kisha akapiga nyingine [emoji818] ya kifuta machozi kwa Membe kama njia ya kumkomoa Maalimu Seif.
Lumumba kuna shida
 
Niko serious zaidi ya sana. Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025. Utake usitake

Sawasawa na wewe kumbuka kurudi hapa.
Lissu atakuwa rais wa miga na utakuja hapa kusema kuibiwa kura ndio maana unasema lazima anakuwa rais.
 
ACT Wazalendo walikuwa na lao jambo walipomkaribisha Membe; na inawezekana Membe hakuwajua au wao wamewahi kumjua.
Nadhani ni suala la muda tu Membe atarudi CCM
Tena atarudi kikiwa Chama pinzani
 
Maalimu anazeeka vibaya, kwa nini wasingeungana mapema? Huu ndo urafiki wa mashaka, iwe isiwe kura lazima zigawanwe! Na mzee wa gusa unuke lazima atowe spichi siku ya kuapishwa jiwe, kwani atakuwa mshindi wa 3, lissu na genge lake watakuwa wamejifungia ndani na shoga wao Amsterdam wanajadili jinsi ya kuleta vurugu.
 
Pandikizi la ccm lililoshtukiwa pole zao. Huwezi kumshafisha Membe muda huu too later acha watu wachague wanaemtaka.
 
Teh Membe kasema atakuwa Rais na kampeni hafanyi sasa sijui anataka kufanya mapinduzi?
 
Kilichomponza Membe ni kuacha kuweka mezani mpunga waliokubaliana bn13 basi hakuna jingine.
 
Pandikizi la ccm lililoshtukiwa pole zao. Huwezi kumshafisha Membe muda huu too later acha watu wachague wanaemtaka.
Ndiyo muelewe kuwa huko kwenu hamnazo. Juzi tuu mwamshabikia ooh #KAZI NA BATA. Sasa kuleni bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…