Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura...
Mkuu inatia hasira sana ,watu wanapambana kumng'oa mkoloni mweusi kaburu halafu yeye(Jasusi Membe) anakurupuka kama Lipumba kuharibu na kuwachanganya wananchi.

Maalim naona hajamtukana kabisa ilitakiwa ampe makavu zaidi ya yale.....Katika mapambano mtu yeyote akijitokeza kuturudisha nyumba tunamshambulia bila kuangalia alikuwa nani.
 
Hapa kwetu haitakuja kutokea ata kidogoo. Wajaribu tuu atakumwaga mkojo barabarani waonee moto wake
Sema hivyo hivyo wameondoka kina Al-bashir ,Jammeh , Mugabe ambao walikuwa strong na Konki kuliko mgombea wenu huyo wa MALUKANGA muda wote ana boostiwa na AC.
 
Nina mashaka na ujasusi wa bwana Mende.. Jasusi unazidiwa mipango na Abdul Nondo?
 
Siku zote hawa husimama kwa maslahi binafsi. Sasa ili kuokoa nchi tukapige kura namna hii
 

Attachments

  • IMG-20201021-WA0002.jpg
    IMG-20201021-WA0002.jpg
    98.5 KB · Views: 1
Hapa kwetu haitakuja kutokea ata kidogoo. Wajaribu tuu atakumwaga mkojo barabarani waonee moto wake

daaah nnachokiona moshi leo siamini amini, barabara nzima daaah, naskia anaenda arusha sasa sielewi elewi ngome imevunjwa ama vp
 
Back
Top Bottom