Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura...
Kama kuna hicho unachokiita "over reaction" basi CCM ndio wali over react kwa kumfukuza Membe!
 
Membe asichekewe atakiharibu ACT,..kwanza angekubali tu kuungana na lissu niwazi membe mvuto wa kisiasa hana na alikuwa na matarajio makubwa sana ila kurudi kwa lissu kumemzima
 
Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura...
Hivi wewe unayatoa wapi matumaini ya kudhani kuwa Lissu kwenye uchaguzi huu anaweza akamg'oa Rais Magufuli?

Sikiliza ndugu yangu, labda nikuondoe hofu, CCM ina wanachama milioni 17 Tanzania nzima ambao wote wanavyeti vya kupiga kura na wamejiandikisha kupiga kura mwaka huu. Hawa ni wanachama wa kadi na wanalipa michango. Sio kama wewe mfuasi au mshabiki.

Jumla ya wapiga kura wote waliojiandikisha nchini ni milioni 29 na kitu. Na ili mgombea urais aweze kupita, anahitaji asilimia 51 ya kura zilizopigwa. Sasa ukiangalia mahesabu yalivyo, kutokana na idadi ya wanachama wa CCM peke yake, inaonyesha kuwa watu watakao mpigia kura Rais Magufuli kutoka kwenye chama chake, tayari imesha zidi nusu ya idadi ya wapiga kura wote waliojiandikisha nchini.

Mimi sielewi kwa idadi hii ya wanachama wa kadi na sio wafuasi wa CCM, Tundu Lissu, Maalim Seif na nyie wafuasi na mashabiki wa vyama vya upinzani mnapata wapi ubavu wa kusema kuwa mnauwezo wa kuishinda CCM mwaka huu na kumng'oa Magufuli? Hamwoni kuwa mnajipa stress za bure?

Kama Lissu amewatumia hao wafadhili wake kummpa pesa ya kuwahonga baadhi ya wanachama wa CCM ili wampigie kura yeye badala ya Magufuli, hapo naweza sema sawa. Lakini hali inavyo onekana haitakuwa rahisi. Lissu anatakiwa at least kuwahonga wana CCM milioni 10, hela hizo atazipata wapi? Na lini ataweza wafikia wanachama wa CCM?

Bernad Cammilius Membe mimi namwona ni mtu makini sana, japo kuwa watu wana mdharau na kumwona yeye chizi tu. Alisema kwenye kikao chake juzi na wahandishi wa habari kuwa ushindi wake unategemea mpasuko wa CCM na sio vingine. Yeye anajua fika bila mfarakano wa CCM, hawezi ambulia kitu. Ni kujidanganya mwenyewe.

Na ndiyo maana lengo lake kubwa, kwa wale wanao msikiliza vizuri, ni kukisambaratisha chama cha CCM au kama mwenyewe anavyo sema kuleta mpasuko ndani ya CCM. Lakini kwa hivi sasa jinsi hali inavyo onekana, bila mpasuko wa CCM hakuna mgombea hata mmoja yuko kwenye position ya kukishinda chama cha mapinduzi, hata angekusanya watu kiasingani kwenye kampeni yake ya uchaguzi, anaweza sema eti atashinda uchaguzi wa 2020 zidi ya CCM. Huo ni uongo wa hali ya juu. Watu watakao kuwa wanawaza hivi nafikiri wanaota njozi za mchana.

CCM hawabahatishi mshikaji. CCM ni wanasayansi mkuu. Wanajua kupiga mahesabu ya Probabilty na Extrapolation. Na sio wanasia Uchwara kama Lissu anavyo dhani kuwa.
 
Wanachama wanapiga kura kwa kufuata maslahi yao siyo kwa sababu ya uanachama wa chama fulani.

Wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi wote hata kama ni wanachama wa CCzm wameathiriwa sana na utawala mbovu wa Magufuli, kwa hiyo watapiga kura kumtosa ili maisha yao yaboreke
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Sijui! Inaelekea labda hujui maana ya uanachama. Ina maana mtu akiwa shabiki wa timu ya mpira kama vile, tuseme Yanga. Yanga ikifungwa naye anabadili ushabiki kuwa wa team nyingine?

Wafanya kazi wewe unafikiria tu wale wanaofanya kazi serikalini, hao mbona ni wachache sana?
 
Mkuu lazima wamejaribu kuongea nae ndani ya chama au ‘private’ ikagonga mwamba, ndio maana walichelewa sana kumuunga mkono Lissu. Membe amezingua sana sana. Ila mbele ya wananchi yeye si chochote si lolote. Watu wote tuko na Lissu.
Membe sisi wana mageuzi wa kweli tulisha mstukia tangu day one aliposema kuwa anahitaji kuungwa mkono na vyama vyote vya upinzani ili yeye awe ndiyo mgombea urais
 
Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura.

Lakini pamoja na hayo lazima nikiri kuwa chama kinachonivutia nchini kwa sera, kuzungumza masuala ya wananchi kwa hoja mathubuti, kwa utafiti wa kisomi, mipango mkakati na ilani ni ACT Wazalendo

Lakini pamoja na hayo nimeshtushwa sana na kauli ya mwenyekiti wa ACT ndugu Maalim Seif aliyoitoa dhidi ya Ndugu Benard Cammilius Membe, binafsi naiona kama ni kauli ambayo kama ilibidi kutolewa basi ingetolewa kwa namna na style nyingine tofauti na aliyotumia maalim Seif.

1. Ndugu Maalim, Bernad Membe ni mkubwa mwenzio anastahili staha na heshima mbele ya Umma
Kwa hadhi, umri na utumishi uliotukuka wa mh Membe kwa nchi hii siyo sawa na siyo sahihi hata kidogo kwenda kuongea kwa style uliyotumia pale mbele ya vyombo vya habari. Siyo sawa kumkaripia mheshimiwa Membe kama mtoto mdogo. Mimi kama mwananchi ninayependa ustawi wa Demokrasia nchini, sidhani kama ni sahihi viongozi, tena viongozi wakubwa kuitisha press conference na kuanza kushambuliana katika vyombo vya habari.

ACT ina vikao, kama Membe alikosea ilikuwa ni jukumu lako kumuita na kuongea naye ili kuelewa kiundani hasa alikuwa anamaanisha nini, na hata kama alikosea hilo suala halimalizwi kwenye press conference bali ndani ya vikao vya chama na kama ikibidi ndo mnatoa press release juu ya maamuzi ya vikao vya chama, siyo mwenyekiti anaitisha vikao kwenda "kumsuta" mgombea wake mwenyewe. Hii nidhamu ya wapi, au nidhamu ni kwa wadogo tu?

2. Kiongozi wa Chama alimhakikishia Ndugu Membe heshima
Wakati akihojiwa na chombo kimoja cha nje, Kipindi cha ujio wa Membe hapo ACT, Kiongozi mkuu wa Chama alimhakikishia ndugu Membe heshima, na akasema pengine kilichowaondoa akina Lowasa Chadema ni kujihisi hawaheshimiwi vya kutosha. Sasa haijapita miezi minne tangu mheshimiwa Membe aingie ACT mnaanza kumkoromea Mgombea urais wenu wenyewe, mliompitisha kwenye vikao halali, mkaturushia sisi wananchi Live kwenye TV, kwa mbwembwe kubwa, mkaenda kumtambulisha unguja na Pemba halafu mnakuja kumrebuke hadharani na kumchallenge eti afanye kampeni tuone, Yaani mnaanza kumdhihaki badala ya kutafuta naye suluhu juu ya suala hilo ambalo yeye na ACT wamewekeza mtaji mkubwa kabisa. Au mnadhani ACT ni nyie wawili Zitto na Maalim peke yenu na kwamba siye wananchi hatuna stake katika maamuzi ya chama kwa ujumla wake?

3. Kuna maisha baada ya Uchaguzi
ACT inatakiwa ikitoka katika uchaguzi huu iwe moja, iwe na nguvu kubwa zaidi ya kuendeleza mapambano ya kupanua demokrasia nchini na kujijenga zaidi. Sasa mtajijengaje wakati mmeraruana humu ndani kwa ndani kisa tu mmeona mgombea wenu uchaguzi umemkalia vibaya na badala ya kukaa kama chama mje na stratergy ya pamoja ya kuwaeleza wananchi msimamo halisi wa chama baada ya kukaa kikao tena na tena bila kuchoka na mgombea, nyie mnaanza kumuattack. Nyie ACT Wazalendo hebu tuelezeni, ni lini na ni wapi kamati kuu ya Chama ilikaa na mgombea na mkasema kuwa sasa Wewe Membe siyo Mgombea tena kwa tiketi ya ACT bali sasa mgombea wetu ni Lissu?. Haiwezekani utashi wa Zitto na Maalim peke yenu kwa sababu ya maslahi yenu binafsi ya kisiasa ya leo na ya kesho mkaamua tu kuwa hatukuungi mkono bali tunamuunga mkono yule. Kama mlitaka hivyo nyinyi sasa mlimpitisha awe gombea kwa sababu gani, kwani mlilazimishwa kuweka mgombea?

4. ACT mlimpitisha Membe kihalali msijifanye hamumjui
Mkutano mkuu mliufanya, mkaturushia Live kwenye TV, mkaserebuka sana, mkatwambia kuwa Membe ndiye mwenyewe, baada ya hapo mkazindua na Ilani yenu, mkamkabidhi Membe sasa hamuwezi kuja hivi kwetu sisi wananchi kienyejienyeji eti hamumjui kuwa ni mgombea halali wa ACT. Sasa kama Maalim anaweza kumruka Kimanga mgombea wake yeye mwenyewe aliyempitisha huku akiwa ni mwenyekiti wa Kikao atashindwaje kuwakana Wazanzibar wakishampigia kura na kuwa raisi?. Hivi vitu nyie ACT msidhani ni vidogo, ni vikubwa sana kwetu wananchi maana tunapima uwezo wenu wa kuendesha mambo yenu wenyewe!

5. Maalim kuna Profesa Omar ambaye ni mgombea mwenza wa Membe, naye ni mgombea halali vipi amekubali naye kuunga mkono mgombea wa chama kingine?
Hii ishu siyo ya Membe peke yake maana kuna mgombea mwenza wake, naye ni mgombea halali, ana jasho lake kwenye jambo hili na anataka aje awe makamu wa raisi. Kama unadhani ulishamalizana na Membe je chama kilipata ridhaa ya mgombea mwenza?, au maalim unadhani kuwa kwa kuwa profesa Omar ni mzanzibari basi unammudu tu na mambo yatajesha yenyewe, kwamba atakaa kimya kwa sababu "Simba" kaunguruma. Haya mambo siyo rahisi kihivyo Maalim. Tunataka chama cha ACT kiheshimu kanuni, taratibu na vikao vyake chenyewe, ili tupate vyama makini, vitakavyojenga demokrasia ya kweli nchini!

6. Hakukuwa na ulazima kwenye kipindi hiki cha lala salama kuonyesha udhaifu ndani ya chama
Kama ilitakiwa kuwapa signal wananchi kiujumla na wafuasi wa Membe wamchague Lissu ilitakiwa kutumia lugha nzuri ya kisiasa ili kuwafanya watu wafanye hivyo. Kitendo cha kuja mbele wiki moja kabla ya uchaguzi na kuonyesha kuwa kuna mgogoro ndani ya chama kunawatisha wananchi, kunawakumbusha mambo ya Dr Slaa na Lipumba kuanzisha zogo siku chache kabla ya uchaguzi. kuna siku Zitto aliulizwa juu ya harakati za kampeni za Membe, Jibu akajibu kuwa yuko busy anaandaa baraza la mawaziri, hiyo kauli ilikuwa ni ya kisiasa na ilikuwa ni jibu zuri la kuondoa kiwingu cha maswali ambayo yangefuata ambayo yasingekuwa mazuri kwa kambi ya upinzani.

Sasa Maalim ulishindwaje kutumia sense of humor, au positive propaganda kupangua damage yoyote unayodhani ilileymtwa na press conference ya Membe?. Maalim kwa nini hakukubaliana na baadhi ya mambo mazuri kabisa kwenye hiyo press conference ili kuonyesha balance, Kiukweli kuna mambo nyeti na mazuri pia ambayo Membe aliongea siku hiyo!

7. Ombi kwa mheshimiwa Membe
Mzee wangu Membe, nakuomba umuunge mkono Lissu, ikiwezekana usitumie mafumbo sana, tumia njia unayodhani inafaa ili ueleweke na uwe safe kisheria, naamini unamuunga mkono Lissu kwa namna moja au nyingine ndiyo maana ukajitolea kumpa nafasi afanye kampeni bila wewe kutofanya ili usimharibie. Ila kwa bahati mbaya wenzio hawajakuelewa, naomba uwaeleweshe kuwa ni nini hasa makusudio yako. Mimi naamini ukiusaidia upinzani kustawi itauwa rahisi kuipasua CCM kwa sababu usipoaminika wewe leo, wana CCM makini wataogopa kuikimbia CCM, na kwa bahati mbaya akina Zitto hawalioni hili.

Tunajua una wafuasi wengi nchini, wakiwemo wananchi wa kusini hasa Lindi, hawa wote Lissu anahitaji kura zao, nakuomba uwaombe kwa namna yoyote utakayoweza wampe kura Lissu ili tuuondoe utawala dhalimu wa CCM. Mwisho nakuomba uwasamehe akina maalim hawajakuelewa bado, hawajaelewa sense yako of humor, hawajaelewa kuwa unataka kucheza hii gemu kusaidia upinzani lakini bila kuingia matatani kwenye mkono wa sheria. Talk to them, i hope they will understand!
Membe amuunge mkono Lissu aache kuleta malumbano wakati huu muhimu, ni afadhali CDM hawakumpokea kwani angeleta taharuki.
 
Exactly
 
Back
Top Bottom