KWENYE KAZI ZA POLISI MWENYE KUJUA HILI ANISAIDIE

Kwenye cheti cha shule unaitwa KAINI ila kwenye kitambulisho cha taifa unaitwa KAIN
 
Jipange upya, hapo hakuna namna ya kuchomoka... Labda jamaa waufundishe tena mfumo wao kukubali hizo errors za herufi kwenye majina, yaani system ikubali tu bila kipingamizi
 
Umakini ktk uandishi wa majina unahitajika

Juzi NECTA walitoa Tangazo kuhusu hili nadhani ULIPUUZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…