Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Lakini mambo mengine Mungu huamua kuyafunua hapa hapa duniani!Kama ling'wenya angekutwa na diary na pen kama Yule askari,na hakika jaji angepokea pingamizi la upande tetezi,ila kwakua ni jaji wa kimkakati tutaendelea kuona Mkakati wa kumfunga FAm..
Good!tumeleta shahidi mwingine na tumeomba kuingiza documents zingine,
ngoja tuone maana naona mawakili wa jamuhuri wamebaki wanatoa macho ila kilichofanyika ni ku-cure mischief zilizotumiwa na jaji kama sababu ya kupiga chini barua ya Ling'wenya.
Mungu asimame na sisi!tumeleta shahidi mwingine na tumeomba kuingiza documents zingine,
ngoja tuone maana naona mawakili wa jamuhuri wamebaki wanatoa macho ila kilichofanyika ni ku-cure mischief zilizotumiwa na jaji kama sababu ya kupiga chini barua ya Ling'wenya.
Nachojiuliza mbona kesi imejikita kwenye ukamataji tuuuu matukio ya ugaidi yako wapi? Vifaa vya kivita walivokuwa navyo kwaajili ya ugaidi viko wapi? Wakasema waliwakamata mara wanakunywa pombe, mara wanasajili line lakini mfukoni hawako ata na Mia mbovu, basi hawana ata kabomu ka machozi, ugaidi wanaufanya na madawa ya kulevya! Yaan hawakutumia akili kabisa ya namna ya kubambika iyo shutumaThis time hapaswi kuongea Mbowe. Anapaswa kuongea Mshatkiwa mwingine! Itakapofikia wanaonesha jinsi walimkamata Mbowe na upepelezi wake na maelezo yake ninafikiri hapo patakuwa patamu pia!