Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

"Unafanya nini" kwa kiingereza utasemaje?
What do you do? au unaweza ukasema What are you doing? Tofauti yake ni ndogo sana na hapo unaweza usiione.Ya kwanza kwa kitendo kinachofanyika mara moja tu na linafikia mwisho.What are you doing ni kitendo kinachofanyika ila kwa mwendelezo.Mfano anayecheza mpira ni bado anaendelea kucheza ila anayerusha jiwe anafanya kitendo hiko kwa mara moja tu.Akiendelea kurusha mengine manake ni mwendelezo na hapo tunahamia what are you doing?
 
Tofauti hapo ni hizo 'do' na 'doing' ukishaelewa tofauti zake. Hazitakusumbua!
 
What do you do(for A LIVING) kiswahili rahisi unafanya shughuli gani(kazi gani)
Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
 
What do you do(for A LIVING) kiswahili rahisi unafanya shughuli gani(kazi gani)
Naomba niambe na "what have you done?" kwa kiswahili unasemaje, ili nimuonyeshe maana anabisha na hili pia.
 
Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
You are both right,kama unataka kumaanisha unaishi kwa kazi gani basi lazima hilo neno la mwisho (for a living) liwepo! Otherwise litamaanisha jambo au mambo tofauti na kile unacholenga.
 
Back
Top Bottom