Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

What have you done?
Sasa mbona nilivyouliza "what have you done" kwa kiswahili umejibu " hivi - "Ulifanyaje/ulifanya nini"? Halafu sasa hivi unakiri kwamba "what have you done" ni "umefanya nini"?
 
What do you do? au unaweza ukasema What are you doing? Tofauti yake ni ndogo sana na hapo unaweza usiione.Ya kwanza kwa kitendo kinachofanyika mara moja tu na linafikia mwisho.What are you doing ni kitendo kinachofanyika ila kwa mwendelezo.Mfano anayecheza mpira ni bado anaendelea kucheza ila anayerusha jiwe anafanya kitendo hiko kwa mara moja tu.Akiendelea kurusha mengine manake ni mwendelezo na hapo tunahamia what are you doing?
Hapana. Tofauti ipo tena kubwa tu. Rejea post #8 na 40.
 
Hapana! Hilo ni neno lisilofanana kwa karibu na hayo mawili ya juu,'unafanya nini'na unafanya vipi ni tofauti mkuu!
kweli, sasa naona yakitumiwa na wajuvi wa lugha kutaka kuwa sawa, wengne hujibu 'fine' na wengne 'how do you do too' thank you.
 
Yye ndo atakuwa haelewei alichokuwa anamaanisha ktk muktadha huo...how do you do huwa tunaitumia kwa watu ambao hamfahamiani...for the first time Salamu inayotumika ni Sawa na Hi..
Ungejibu how do you do too....nifikiri hivyo
Sijasema 'how', ni 'what'
 
Kuna how do you do? Sio what do you do?ila kuna what are you doing?
Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.

Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
 
Yeah, ila hapa nilizungumzia 'what' na sio 'how'
 
Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.

Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
Mkuu nimepotosha wapi hapo?
 
Back
Top Bottom