Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

Lakini "what do u do" inatakiwa iandamane na "for a living" ikamilike.. ukiiacha hivyo inabaki tungo tata.. maana present tense ni "doing", so kama ukimuuliza mtu anafanya nini = what r u doing.. Accordin to my ngumbaru hiyo[emoji3][emoji3]
Umennisaidia mkuu! Asante!
 
Nilichokigundua ni kwamba watu wameathiliwa na Elimu ya makaratasi ndo maana wanaanza kuelezea mambo ya kwenye makaratasi. Mtu akikuuliza what do you do ? = what is the time ?. Ukikaa na wazungu haya maneno ni ya kawaida sana na nimekaa ulaya zaidi ya miaka nane.

Anayebisha afuatilie kabla ya kupingana na Mimi, maana najua kuna wenye Elimu za makaratasi watakuja mbio. Asanteni.
 
Mleta thread ni Msomi wa UDSM, Nikisema hiki chuo kifutwe na kigeuzwe kiwe Guest House watu mnabisha.... Oneni sasa hii aibu
 
Nilichokigundua ni kwamba watu wameathiliwa na Elimu ya makaratasi ndo maana wanaanza kuelezea mambo ya kwenye makaratasi. Mtu akikuuliza what do you do ? = what is the time ?. Ukikaa na wazungu haya maneno ni ya kawaida sana na nimekaa ulaya zaidi ya miaka nane.

Anayebisha afuatilie kabla ya kupingana na Mimi, maana najua kuna wenye Elimu za makaratasi watakuja mbio. Asanteni.
Haya tumesha jua umekaa Ulaya miaka 8 nenda sasa kamtandikie shemeji kitanda alale....
 
What do you do maana yake HABARI ZA SIKU NYINGI. Salamu hii unampa mtu ambaye hamjaonana muda mrefu
 
sosoliso said:
Lakini "what do u do" inatakiwa iandamane na "for a living" ikamilike.. ukiiacha hivyo inabaki tungo tata.. maana present tense ni "doing", so kama ukimuuliza mtu anafanya nini = what r u doing.. Accordin to my ngumbaru hiyo
Hapana ndugu yangu, what do you do ina maana pana zaidi ya hapo na si lazima iandamane na for a living kukamilika.
Umenisaidia mkuu! Asante!
What do you do inaweza kuandamana na in, for, if, when, with na mengineyo. Mifano iko mingi kama ifuatavyo...
  • What do you do in a certain situation
  • What do you do when you are bored
  • What do you do if a crisis occurs
  • What do you do for a living
  • What do you do with an idea
Kiswahili chake kingeweza kuwa unafanyaje kulingana na hali iliyopo au inayokukabili...why, where, what, how...
 
Lakini "what do u do" inatakiwa iandamane na "for a living" ikamilike.. ukiiacha hivyo inabaki tungo tata.. maana present tense ni "doing", so kama ukimuuliza mtu anafanya nini = what r u doing.. Accordin to my ngumbaru hiyo[emoji3][emoji3]
Alitaka kuitumia katika kitendo ambacho si endelevu, yaani mtu anatenda muda huo
 
Back
Top Bottom