ferrites
Member
- Dec 21, 2015
- 67
- 28
Wafanya nin? Simple present tense(what do you do)Naomba kufahamu
Unafanya nin? Present continuous tense(what are you doing)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanya nin? Simple present tense(what do you do)Naomba kufahamu
Exactly,ndiyo maana unalaziimika kui specify ili ilete maana moja iliyonyooka!Hapana ndugu yangu, what do you do ina maana pana zaidi ya hapo na si lazima iandamane na for a living kukamilika.
What do you do inaweza kuandamana na in, for, if, when, with na mengineyo. Mifano iko mingi kama ifuatavyo...
Kiswahili chake kingeweza kuwa unafanyaje kulingana na hali iliyopo au inayokukabili...why, where, what, how...
- What do you do in a certain situation
- What do you do when you are bored
- What do you do if a crisis occurs
- What do you do for a living
- What do you do with an idea
What do you do [emoji23][emoji1787]What do you do?
nina uhakika sana na pia nime rejea kitabu fulani sisemi vitu kutoka hewani! na nimesema awali pia kuwa imezoeleka katika lugha ya mazungumzo yasiyo rasmi huwa ni sahihi. Spoken language huwa mara nyini ni informal kwa hiyo kanuni hazizingatiwi sana. written language huwa formal zaidi na hivo maneno kama bye bye yanaepukwa! ndio ilikuwa hoja yangu, hiyo ndiyo linguistics! kuna maneno yanaundwa na maneno mawili na kuleta maana moja na hivi hayawezi kuvunjwa na kubaki na maaaaana iliyokusudiwa.Jamani tuacheni uzushi au kukisia bila kuwa na hakika na jambo. Bye-bye haina uhusiano na kwa-kwa kama ulivyosema na pia haihusiani na maneno by by ambayo ndiyo tungeweza kuyatafsiri kwa kiswahili kama kwa kwa. Etymologically bye-bye imetokana na ongeaji ya watoto badala ya kutamka neno kamili goodbye wao wakazoea kusema kwa kifupi bye-bye (na siyo by-by) hatimaye ikaja kuzoeleka hata kwa wakubwa kufupisha hivyo hadi hii leo.
Hebu kutoka kwenye hicho kitabu ulichosema onyesha hata kwa screenshot panapoelezea uhusiano wa bye-bye na kwa kwa ili kuthibitisha ulichoandika na pia tuendelee kuelimika.nina uhakika sana na pia nime rejea kitabu fulani sisemi vitu kutoka hewani! na nimesema awali pia kuwa imezoeleka katika lugha ya mazungumzo yasiyo rasmi huwa ni sahihi. Spoken language huwa mara nyini ni informal kwa hiyo kanuni hazizingatiwi sana. written language huwa formal zaidi na hivo maneno kama bye bye yanaepukwa! ndio ilikuwa hoja yangu, hiyo ndiyo linguistics!
'Bye' sio kwa, ni 'by'Ni kweli lakini sometimes hukiukwa katika spoken English. Mfano watu huzoea kusema Bye Bye ambayo ni sawa na kusema Kwa Kwa na haina maana yoyote hivi ni lazima ikamilike kwa kusema goodbye
Hata ukisema Morning ni kukatisha tu na unaeleweka bali umesema asubuhi na kimsingi hujasalimia hadi ukisema Godmorning
Na 'what are you doing' utasemaje?unafanya nini?
Hatuna haja ya kubishana sana vitabu vingi utavisoma library si lazima uwe na piles nyumbani na nina uhakika niliwahi kukutana na kitu hicho katika kusoma kwangu vitabu mbali siwezi kukumbuka mwandishi kwa sababu sikuwa narejea kama reference na sikuwa kwenye research. i was just reading!Hebu kutoka kwenye hicho kitabu ulichose onyesha hata kwa screenshot panapoelezea uhusiano wa bye-bye na kwa kwa ili kuthibitisha ulichoandika na pia tuendelee kuelimika.
Kwahiyo 'what do you do' na 'what are you doing' ina maana sawa?kwan sentens mbili haziwezi kuwa na maana moja?
Na 'huwa unafanya nini / unajishughulisha na nini' utasemaje?doing (unaniuliza nafanya nini saiz- present tense)
do (nafanya nini - PP tense)
Ni 'what' na sio 'how'Vipi hali yako /wajisikiaje?
haina maana hiyo nilimaanisha Goodby = kwa heri kwa hiyo ukisema bye ni sawa na kusema kwa na kuacha heri ukisema bye bye utakuwa umefupisha na kusema tu kwa kwa that was the point'Bye' sio kwa, ni 'by'
Kwa nyongeza ukitoa maneno ya nyongeza for a living.What do you do(for A LIVING) kiswahili rahisi unafanya shughuli gani(kazi gani)
Ukisikia porojo ndiyo hizo. Unazungumziaje hii screenshot?Hatuna haja ya kubishana sana vitabu vingi utavisoma library si lazima uwe na piles nyumbani na nina uhakika niliwahi kukutana na kitu hicho katika kusoma kwangu vitabu mbali siwezi kukumbuka mwandishi kwa sababu sikuwa narejea kama reference na sikuwa kwenye research. i was just reading!
What are you doing inaweza kuashiria moja muda huu pili siku hizi temporarilyNa 'what are you doing' utasemaje?