Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

What do you do? au unaweza ukasema What are you doing? Tofauti yake ni ndogo sana na hapo unaweza usiione.Ya kwanza kwa kitendo kinachofanyika mara moja tu na linafikia mwisho.What are you doing ni kitendo kinachofanyika ila kwa mwendelezo.Mfano anayecheza mpira ni bado anaendelea kucheza ila anayerusha jiwe anafanya kitendo hiko kwa mara moja tu.Akiendelea kurusha mengine manake ni mwendelezo na hapo tunahamia what are you doing?
Je nikitaka kumuuliza kuwa huwa anafanya nini nitasema in English?
 
Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
Kwa nini ubishane lisaa lizima na mtu mkuu? Mimi huwa kama nina Uhakika na jambo huwa sina muda wa kubishana na mtu. Ninamueleza ninachokifahamu, akikubali sawa asipokubali pia sawa, nakubali yaishe!
Lakini pia pamoja na uhakika wangu wa jambo husika, nitatafiti pia kwa muda wangu hoja yake inaposimama! Lakini kubishana saa nzima! No, thank you...[emoji23][emoji23]
 
What do you do? Huwa unafanya nini? Hii in always, often, regular, sometimes n.k

What are you doing " unafanya nni wakati huu ninapoongea au umepanga kufanya nini muda mchache ujao

Ikiwa kutakuwa na now in sasa ikiwa in muda mfupi ujao utatajwa m.f what are you doing in the evening? Maana yake umepanga kufanya nini jioni ya leo?
Na hii WHAT ARE YOU GOING TO DO?
 
Chukua hii ya RRONDO. 100%Na mimi naomba nisaidiwe hii hapa...View attachment 951782
Someone(mother
Chukua hii ya RRONDO. 100%Na mimi naomba nisaidiwe hii hapa...View attachment 951782
The sentence is wrong, how could you mingle two
Chukua hii ya RRONDO. 100%Na mimi naomba nisaidiwe hii hapa...View attachment 951782
Chukua hii ya RRONDO. 100%Na mimi naomba nisaidiwe hii hapa...View attachment 951782
Firstly, it should be that "A mother beats her daughter because she is drunk" to show active- passive agreement. Thus, semantically, the sentence has got different meanings, A mother who is drunk beats her daughter. A drunkard one (daughter) is beaten by her mother.
 
What do you do? Huwa unafanya nini? Hii in always, often, regular, sometimes n.k

What are you doing " unafanya nni wakati huu ninapoongea au umepanga kufanya nini muda mchache ujao

Ikiwa kutakuwa na now in sasa ikiwa in muda mfupi ujao utatajwa m.f what are you doing in the evening? Maana yake umepanga kufanya nini jioni ya leo?
Mhh.. japo sijui jibu ila i am surely you have got it wrong too much.. 'what are you doing in the evening?' inakupaje tafsiri ya 'umepanga kufanya nini jioni ya leo'? ... umekosea sana mkuu
 
Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
Hahaha, I hate that you are always right !, but what can I do?!
 
Mhh.. japo sijui jibu ila i am surely you have got it wrong too much.. 'what are you doing in the evening?' inakupaje tafsiri ya 'umepanga kufanya nini jioni ya leo'? ... umekosea sana mkuu
Hahaha kwanini watu hung'ang'ania kujua kiingereza tu, lakini Kimang'ati na Kimasai hawataki kufahamu?! Wangetusaidia kutafsiri lugha zetu za kienyeji, lakini kila mtu na kiingereza.
Kuna MMasai alisema "Amekula maziwa" kuna jamaa akasema eti alitakiwa aseme "amekunywa maziwa". Mmasai alidakia akasema yeye ameshashiba, wewe endelea kutafuta maan. Nilicheka sana. Lakini nani alikuwa sahihi? Nafahamu huu sio uzi wangu.
 
Mhh.. japo sijui jibu ila i am surely you have got it wrong too much.. 'what are you doing in the evening?' inakupaje tafsiri ya 'umepanga kufanya nini jioni ya leo'? ... umekosea sana mkuu
Mikhail Tal unajua kwamba sentence iliyo kwenye Present Continuous hutumika pia kama Future Tense ikiwekewa muda maalum. MTU anaposema " I am going to tell you the story, kwa maana ya Nitakuambia habari fulani anakuwa amekosea?
 
Naomba kufahamu
"Hello, how do you do?"
"I’m doing fine, thank you. And you?"
"Quite well. May I ask, what do you do?"
"I’m a carpenter."
"Well, it sure must be nice that the weather is getting warmer.”
 
Umefahamisha kwa kutiririka😆
 
Umefahamisha kwa kutiririka😆
No, sijatiririka, haya mambo yako kwenye mitandao, just google unapata kila kitu labda kama unataka kupima ufahamu wa watu, lakini kama kutafuta jibu sahihi , just google!
 
Kama hufahamu ni rahisi kula kasa google. Namwogopa sana mtu anaenielekeza google kutafuta maarifa.
 
Back
Top Bottom