CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Hakuna what do you do. Yaani unakutana na mtu tu unamuuliza neno what di you do... NoKumbuka ni 'what' na sio 'how'
Kuna hili neno lingine. How do you make it? Usitafsiri. Ni neno kama unavyosema how do you do ila lina maana tofauti.