Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.

Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
How do you do (how you doing) jibu ni I do fine how are you doing!
 
Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.

Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.

Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
Wanapo shake hands wahakikishe mh. Suleiman Jafo hawaoni vinginevyo atawacharaza bakora kwani hivi majuzi kazindua kampeni ya kuwataka watu waache tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono.
 
Kwa kuongezea tu utumika kumwuliza mtu ambaye ndiyo mara ya kwanza mmekutana na kufahamiana au hata kama mnafahamiana siku nyingi lakini ni muda mrefu umepita bila kukutana hivyo unamwuliza ili kujua kwa wakati huo anafanya shughuli gani ili kuendesha maisha yake.
Hili swali nalionaga la kikuda tu ,mimi ni muokota makopo halafu nimwambie mtu hivyo ili agundue nini ?

Mradi siombi dagaa kwa mtu kujua unafanya nini au nafanya nini naonaga ni uchawi tu .
 
Kasome tena ulichoandika. Kuna what do you do na how do you do. Sentensi mbili tofauti.
Niliandika kuna how do you do,ila hakuna what do you do bali kuna what are you doing?
Nikimaanisha alichouliza what do you do semantically correct bt grammatical wrong. Kingereza nachokifahamu huwezi kusema what do you do badala yake Unaweza nkusema what are you doing?au zaidi waweza kusema what have you done? Naomba kuelewa nimepotosha wapi?
 
Hicho ni Kiingereza cha Mr and Mrs Daudi. Queen's English unajibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
I do follow the tunes! Swali lililoulizwa ni la class 1,wewe unajibu kwa vionjo vya linguistic master wa oxford? Slangish? Gramatical? Nop dude!
 
What do you do (for living)? Unafanya kazi (unajishughulisha) gani?
ndo maana halisi na sahihi.
what are you doing? Now or at present - i am watching a football match on the tv.
what are you doing? these days/ temporarily. i am studying computer programming
what do you do? always- habitual. I sell computers
what does your father do? he repairs cars
what is he doing? he is having breakfast
 
Niliandika kuna how do you do,ila hakuna what do you do bali kuna what are you doing?
Nikimaanisha alichouliza what do you do semantically correct bt grammatical wrong. Kingereza nachokifahamu huwezi kusema what do you do badala yake Unaweza nkusema what are you doing?au zaidi waweza kusema what have you done? Naomba kuelewa nimepotosha wapi?
How do you do ni salam tu na lazima ijibiwe hivi: How do you do thank you na si vinginevyo kama I am doing fine. Gramatically hakuna kosa kusema what do you do ni sawa na kusema what does your sister do?
 
what do you do? hii ni simple present tense ikiwa inamaanisha"wafanya nini?" na what are you doing? hii ni present continous tense ikimaanisha"unafanya nini?" hizo ni sentensi zifananazo kinyakati lakini tofauti ipo pale tu"wafanya nini ambayo ndio what do you do?" hiyo uonesha jambo ambalo hulifanya kwa mazoea au kwa kila siku na hata kama lisionekane unalifanya kwa sasa...na "unafanya nini ambayo ndio what are you doing?" hiyo uonesha jambo unalolifanya kwa sasa

jamani huo ndio uelewa wangu si mnajua nimesoma kayumba kwa hiyo napapasia
 
Hili swali nalionaga la kikuda tu ,mimi ni muokota makopo halafu nimwambie mtu hivyo ili agundue nini ?

Mradi siombi dagaa kwa mtu kujua unafanya nini au nafanya nini naonaga ni uchawi tu .
Nadhani siyo sahihi mkuu. Kizazi hiki ni tofauti sana na vizazi vya zamani ambapo hapakuwa na ushindani mkubwa wa kibiashara. Kwa sasa hivi biashara ni matangazo. Kama mtu unafanya shughuli ya halali maana yake unahitaji kuitangaza ili ijulikane na kuwateka wateja zaidi kila kukicha vinginevyo wenzako watawadaka. Hivyo inapotokea umeulizwa na mtu unafanya shughuli gani ni nafasi nyingine ya wewe kujitangaza kibiashara kwa huyo mtu kwa kumwambia unachokifanya. Labda kama una deal na biashara isiyo halali na ya kiujanja ujanja vinginevyo hiyo ni nafasi muhimu kwenu wawili kubadilishana business cards kwa ajili ya mawasiliano zaidi ya kibiashara. Wengi hatupendi swali hilo kwa sababu maisha yetu tunayaendesha kwa njia za ujanja ujanja.
 
Niliandika kuna how do you do,ila hakuna what do you do bali kuna what are you doing?
Nikimaanisha alichouliza what do you do semantically correct bt grammatical wrong. Kingereza nachokifahamu huwezi kusema what do you do badala yake Unaweza nkusema what are you doing?au zaidi waweza kusema what have you done? Naomba kuelewa nimepotosha wapi?
That's why you are wrong. What do you do IS ABSOLUTELY CORRECT IN ANY SENSE.
 
Apo anakuwa anakuulizia muda, means umwambie ni muda gani kwa sisi tuliofundishwa na wakoloni.
 
what do you do? hii ni simple present tense ikiwa inamaanisha"wafanya nini?" na what are you doing? hii ni present continous tense ikimaanisha"unafanya nini?" hizo ni sentensi zifananazo kinyakati lakini tofauti ipo pale tu"wafanya nini ambayo ndio what do you do?" hiyo uonesha jambo ambalo hulifanya kwa mazoea au kwa kila siku na hata kama lisionekane unalifanya kwa sasa...na "unafanya nini ambayo ndio what are you doing?" hiyo uonesha jambo unalolifanya kwa sasa

jamani huo ndio uelewa wangu si mnajua nimesoma kayumba kwa hiyo napapasasia
Huko sahihi Mkuu. Ila umesoma mkutadha wao mpka anauliza hivyo Mkuu? Nimejibu ki contextual iliyokuwepo.
 
How do you do ni salam tu na lazima ijibiwe hivi: How do you do thank you na si vinginevyo kama I am doing fine. Gramatically hakuna kosa kusema what do you do ni sawa na kusema what does your sister do?
Mhhhh....kweli hiki kizungu Kilikuja na meli..ndo maana na hata jamaa niliskia akisema 'wengine hata hawajawai kufika ulaya utasikia wanasema ..you know...hahaaaaa.
Ninadhani ukiulizwa how do you do..unajibu how do you do too..au how do you do.
Ikiwa na maana ya Hi..Unaweza kujibu hi too au hi.(only) am fine ndo naiskia inawezekana na yenyewe waweza Jibu hivyo
 
Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
Lakini "what do u do" inatakiwa iandamane na "for a living" ikamilike.. ukiiacha hivyo inabaki tungo tata.. maana present tense ni "doing", so kama ukimuuliza mtu anafanya nini = what r u doing.. Accordin to my ngumbaru hiyo[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom