Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

Ni Usajiri pekee mzuri alioufanya Magu kutoka Upinzani .
 
Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya,
View attachment 2280990
Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima,

Msikilize mpaka mwisho,
Leo mambo ni mengi mno; lakini nitakubaliana na huyu moja kwa moja katika hilo la kuwachukulia hatua za kisheria kila anayehusishwa na uhujumu. Hili ni jambo muhimu sana.
Akitokea kiongozi wa aina hiyo nipo mbele kabisa kumuunga mkono.

Baada ya kusema hayo, huyu ni mkuu wa mkoa tu. Aliteuliwa na mtu ambaye pengine anayoyapinga yeye ndiyo anayoyapenda mkuu aliyemteua.
 
200 (15).gif

Kafumbuliwa 😁
 
CCM wajifunze mpinzani habadilikagi "FIKRA"

Hata ZITTOWW amenunuliwa bt mara nyingi tu hujisahau na kurudia asili yake.
 
CCM wajifunze mpinzani habadilikagi "FIKRA"

Hata ZITTOWW amenunuliwa bt mara nyingi tu hujisahau na kurudia asili yake.
Au tuseme dau ndilo linakuwa chini, si la kudumu. Likikata tu, wanalianzisha
 
Hana akili huyo RC ,nikiona RC anayependa kutumia POLiSI, TAKUKURU huwa namuhesabia kuwa inawezekana enzi za jiwe alikuwa shabiki ya wasiojulikana wa marehemu jiwe
 
Hana akili huyo RC ,nikiona RC anayependa kutumia POLiSI, TAKUKURU huwa namuhesabia kuwa inawezekana enzi za jiwe alikuwa shabiki ya wasiojulikana wa marehemu jiwe
Unataka wezi wakamatwe na Walimu au?

Mama Samia anachukukia sana wajizi
 
Back
Top Bottom