Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

asije akagusa Wadhaminiwa wa Chama kwmy mapambano hayo kama alivyofanya 'Mtu hatari' kule kwa wajaluo akashtakiwa kwa kuzorotesha mahusiano ya Chama na Serikali Mkoani
 
Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya,
View attachment 2280990
Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima,

Msikilize mpaka mwisho,

Huyu mwamba binafsi namwelewa sana, atafika mbali,

Ni Usajiri pekee mzuri alioufanya Magu kutoka Upinzani .

Huyu mtu ni mzalendo wa kweli kabisa
... mna maoni gani? Msiyoyajua ni kama usiku wa kiza; jifunzeni kuweka akiba ya maneno.
 
Hana akili huyo RC ,nikiona RC anayependa kutumia POLiSI, TAKUKURU huwa namuhesabia kuwa inawezekana enzi za jiwe alikuwa shabiki ya wasiojulikana wa marehemu jiwe
Uliona mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…