shujaa bangili
New Member
- Sep 4, 2019
- 4
- 4
Nashuru mkuusiamini kama nakutana na hii kwako, my wife alikuwa na tatizo hilo ,sisi watu wa IMANI ya maombezi tulivyotoka kanisani jpili mwenzangu kufika home akapiga chafya na kutoa kitu cheupe kina harufu hatukujua ni nini tulishukuru Mungu ila sasa sijui nikushauri nini???
Umenipa mwanga nashukuru mkuu pia Kama UNAFAHAMU jina la ugonjwa nijuze.Mkuu nenda hosipitali ya rufaa ukakutane na wataalamu wa kitengo cha macho, masikio na koo. Tatizo lako litafahamika dhahiri na litakwisha.
Asitokee mtu akakupotosha na tiba za kienyeji ama tiba mbadala. Wahi hospitali, haujachelewa mkuu.
Kabla ya kuhangaika kutafuta tiba kubwa je unaelewa nini kuhusu Tonsils??
Watu wengi huwa hawaelewi kuhusu tonsils.
Kuna wengine wakiwa na tonsils hufanya uvimbe ambao huwa nkama vifuko ambavyo vyakula vikiingia hugandiana humo na kusababisha vyakula hivyo kuoza na kutengeneza kitu kama Mtindi ulioganda kabisa ambao husababisha harufu mbaya ya kinywa. Ambapo pia mtu huyu akimeza mate ndio huhisi kama kuna kitu kimekwama kooni. Kikawaida huwa hakuna kitu kilichokwama kooni bali ni kutokana na uvimbe (tonsils) huwa ndio ubakaba kooni...Kamuone daktari wa magonjwa ya koo, akutoe hizo taka ambazo huwa zimeganda kwenye tonsils, ukitoka hapo hautahisi tena kitu kukwama kooni.
Hapana siufahamu.Umenipa mwanga nashukuru mkuu pia Kama UNAFAHAMU jina la ugonjwa nijuze.
Hiyo ni hali inayosababishwa na vumbi mkuu yaan umevuta vumbi jingi ndan ya mwil.Nahitaji msaada na ushauri wenu wa dhati WAKUU,kuna kitu huwa kinanisumbua Sana sielewi tatizo NI nini.kwenye Koo LANGU KUNA kitu nakisikia Kama kimekwama Sasa nashindwa kuelewa NI kitu gani maana nikiwa nakula sikisikii Wala nikinywa maji sikisikii Bali nikiwa nameza mate ndiyo huwa nakisikia ama ikitokea nimemeza kidonge Cha aina yoyote Ile basi Siku ya pili yake au BAADA ya masaa kadhaa Hali iyo huwa inaongezeka kuliko awali ninachokishangaa KUNA kipindi HIYO Hali huwa inatoweka KABISA ila BAADA ya wiki au Siku kadhaa Ina Rudi Tena NAOMBA msaada wenu wa kitabibu WAKUU.
Mkuu kama hujapata tiba mpaka sasa na upo Dar ni PM nikuelekeze sehemu ukanujue dawa. Kuna mtu alikua na tatizo hilohilo miezi kadhaa nyuma na alipona fasta tu.Nahitaji msaada na ushauri wenu wa dhati WAKUU,kuna kitu huwa kinanisumbua Sana sielewi tatizo NI nini.kwenye Koo LANGU KUNA kitu nakisikia Kama kimekwama Sasa nashindwa kuelewa NI kitu gani maana nikiwa nakula sikisikii Wala nikinywa maji sikisikii Bali nikiwa nameza mate ndiyo huwa nakisikia ama ikitokea nimemeza kidonge Cha aina yoyote Ile basi Siku ya pili yake au BAADA ya masaa kadhaa Hali iyo huwa inaongezeka kuliko awali ninachokishangaa KUNA kipindi HIYO Hali huwa inatoweka KABISA ila BAADA ya wiki au Siku kadhaa Ina Rudi Tena NAOMBA msaada wenu wa kitabibu WAKUU.
Nunua jeneza tu, mkuu... [emoji23][emoji23][emoji23]Nahitaji msaada na ushauri wenu wa dhati WAKUU,kuna kitu huwa kinanisumbua Sana sielewi tatizo NI nini.kwenye Koo LANGU KUNA kitu nakisikia Kama kimekwama Sasa nashindwa kuelewa NI kitu gani maana nikiwa nakula sikisikii Wala nikinywa maji sikisikii Bali nikiwa nameza mate ndiyo huwa nakisikia ama ikitokea nimemeza kidonge Cha aina yoyote Ile basi Siku ya pili yake au BAADA ya masaa kadhaa Hali iyo huwa inaongezeka kuliko awali ninachokishangaa KUNA kipindi HIYO Hali huwa inatoweka KABISA ila BAADA ya wiki au Siku kadhaa Ina Rudi Tena NAOMBA msaada wenu wa kitabibu WAKUU.
Hiyo procedure inaweza kugharimu kiasi gani roughly? Na huduma hiyo inaweza patikana hospitali za mikoani? Ninahisi kuwa na tatizo kama hilo.Kabla ya kuhangaika kutafuta tiba kubwa je unaelewa nini kuhusu Tonsils??
...Kamuone daktari wa magonjwa ya koo, akutoe hizo taka ambazo huwa zimeganda kwenye tonsils, ukitoka hapo hautahisi tena kitu kukwama kooni.
Kama sikosei check up ni 15,000 tu hadi 30,000. Ila pia unaweza kujichunguza mwenyewe. Je ukikohoa unahisi kama kitu kimekwama kooni? Jaribu pia kumtumia mtu akucheki kwenye Tonsils hakuna kitu kama taka, kwa macho ya kawaida pia anaweza kutizama na kuona. Cha kufanya, tanua kinywa, toa ulimi nje then fanya kama unavuta hewa ndani muda huo yeye anakutazama kinywani, kwenye tonsils anaweza kuona huo uchafu unaorundikana kama umo.Hiyo procedure inaweza kugharimu kiasi gani roughly? Na huduma hiyo inaweza patikana hospitali za mikoani? Ninahisi kuwa na tatizo kama hilo.
Kama sikosei check up ni 15,000 tu hadi 30,000. Ila pia unaweza kujichunguza mwenyewe. Je ukikohoa unahisi kama kitu kimekwama kooni? Jaribu pia kumtumia mtu akucheki kwenye Tonsils hakuna kitu kama taka, kwa macho ya kawaida pia anaweza kutizama na kuona. Cha kufanya, tanua kinywa, toa ulimi nje then fanya kama unavuta hewa ndani muda huo yeye anakutazama kinywani, kwenye tonsils anaweza kuona huo uchafu unaorundikana kama umo.