siamini kama nakutana na hii kwako, my wife alikuwa na tatizo hilo ,sisi watu wa IMANI ya maombezi tulivyotoka kanisani jpili mwenzangu kufika home akapiga chafya na kutoa kitu cheupe kina harufu hatukujua ni nini tulishukuru Mungu ila sasa sijui nikushauri nini???

Sorry! Mi sio doctor bali nina uzoefu.Na kama akiona huo uchafu nini kifanyike doctor ? Je anaweza kuutoa kwa kidole au mpaka hospital..
Na kingine kwa hao ambao wanakohoa au kupiga chafya ndio kinatoka wana haja ya kuja hospital tena..
Hata mimi nahisi kama nna hiyo kitu..
Ni kweli kwa mwenye hicho kitu anakua na tatizo la kunuka mdomo ?
Manaake unaweza kuwa unanuka mdomo bila wewe kujijua
Sawa mkuu asante kwa majibu murua sasa mtu atajuaje kama kinywa kinanuka ? Yeye mwenyewe kwanza bila kuambiwaSorry! Mi sio doctor bali nina uzoefu.
Akiona huo uchafu anaweza kuutoa, kuna aina flani za vitu vya kutolea viko kama vijiko vya miti vya kulia Ice-cream za Azam lakini vinakuwa virefu kidogo. Kwa wale wanaokohoa au kupiga chafya na huo uchafu ukitoka hawana haja tena ya kwenda hospitali labda kama watakuwa na uchafu mwingi. Kweli kabisa huo uchafu unasababisha kunuka kinywa.
Umesharukia kwenye majini na mapepo wakati hizo ni tonsil stones!siamini kama nakutana na hii kwako, my wife alikuwa na tatizo hilo ,sisi watu wa IMANI ya maombezi tulivyotoka kanisani jpili mwenzangu kufika home akapiga chafya na kutoa kitu cheupe kina harufu hatukujua ni nini tulishukuru Mungu ila sasa sijui nikushauri nini???
Issue ni kujua exact location ya tonsils.Sorry! Mi sio doctor bali nina uzoefu.
Akiona huo uchafu anaweza kuutoa, kuna aina flani za vitu vya kutolea viko kama vijiko vya miti vya kulia Ice-cream za Azam lakini vinakuwa virefu kidogo. Kwa wale wanaokohoa au kupiga chafya na huo uchafu ukitoka hawana haja tena ya kwenda hospitali labda kama watakuwa na uchafu mwingi. Kweli kabisa huo uchafu unasababisha kunuka kinywa.
Ndani ya kinywa kama utawacha kinywa wazi, eneo la meno ya mwisho inchi 2 kuingia ndani.Issue ni kujua exact location ya tonsils.
Hard to reach and supersensitive to touch.Ndani ya kinywa kama utawacha kinywa wazi, eneo la meno ya mwisho inchi 2 kuingia ndani.
Kweli, ila mimi iliwahi kunikuta hiyo hali na nilijitoa mwenyewe kupitia kwenye kioo. Upande wa juu wa kinywa hauna shida, ila wa chini uko very sensitive!Hard to reach and supersensitive to touch.
Ulitumia kifaa gani kutolea!Kweli, ila mimi iliwahi kunikuta hiyo hali na nilijitoa mwenyewe kupitia kwenye kioo. Upande wa juu wa kinywa hauna shida, ila wa chini uko very sensitive!
Kamti flani kipo kama kama kakijiko flat, kama vile vijiko vya mti vya kulia ice cream za azamUlitumia kifaa gani kutolea!
Nahisi nina hilo tatizo maana hata nikipiga mswaki na kusafisha kinywa vizuri kuanzia kwenye paa la juu na chini kuzunguka kwenye meno na kusugua ulimi vizuri lakini bado harufu mbaya mdomoni haiishi.Kabla ya kuhangaika kutafuta tiba kubwa je unaelewa nini kuhusu Tonsils??
Watu wengi huwa hawaelewi kuhusu tonsils.
Kuna wengine wakiwa na tonsils hufanya uvimbe ambao huwa nkama vifuko ambavyo vyakula vikiingia hugandiana humo na kusababisha vyakula hivyo kuoza na kutengeneza kitu kama Mtindi ulioganda kabisa ambao husababisha harufu mbaya ya kinywa. Ambapo pia mtu huyu akimeza mate ndio huhisi kama kuna kitu kimekwama kooni. Kikawaida huwa hakuna kitu kilichokwama kooni bali ni kutokana na uvimbe (tonsils) huwa ndio ubakaba kooni...Kamuone daktari wa magonjwa ya koo, akutoe hizo taka ambazo huwa zimeganda kwenye tonsils, ukitoka hapo hautahisi tena kitu kukwama kooni.
Na gharama za kuziondoa ni kiasi gani bro??Kabla ya kuhangaika kutafuta tiba kubwa je unaelewa nini kuhusu Tonsils??